Utafiti Mpya: Magufuli 82.2%, Lowassa 16%, Wengineo 2%

Nakubaliana na wewe asilimia mia moja maana kama mtu wa kawaida amekaa tu nyumbani kwake hawatumikii watanzania kwa ngazi yeyote ile na bado kapata 16% basi mzee wa majipu bado hajawaridhisha watanzania
teh teh teh teh umewapa za nyonga hawainuki tena VIBWENGO hawa
 
Kama uchaguzi mkuu ungefanyika leo Rais wa sasa Ndg. Magufuli angeibuka mshindi kwa kupata zaidi ya asilimia 80. Huku mgombea wa Ukawa angepata asilimia 16. Na wengineo kupata asilimia chini ya 2. Hayo yamesemwa leo na mtafiti mkuu wa shirika la CEDP Ndg. Kasira

Mtafiti huyo, kasema ushindi wa Magufuli ungechangiwa na kasi aliyoanza nayo kitendo ambacho kimerudisha matumaini makubwa sana kwa wananchi wa hali ya chini. Kwa upande mwingine kasi ya umoja wa UKAWA umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya muungano wa vyama hivyo kukosa muelekeo na kutokujua la kufanya...

Wananchi wengi 8/10 walio vijijini wameonyesha kuwa na imani kubwa kwa Rais Magufuli. Huku wakiwa na matarajio ya serikali hii ya awamu ya tano kuboresha elimu, afya na miundombinu...

Kwa upande wa mijini. Wananchi wengi wameiomba serikali ya awamu ya tano kushughilikia tatizo la kupanda bei kwa bidhaa na ajira kwa vijana.....
Mmezoea kuiba kura nyie
 
Utafiti huu wangeufanya kuanzia ngazi ya mchujo Ccm huyu mwenye 82% hata 20 bora haingii.
 
Kama uchaguzi mkuu ungefanyika leo Rais wa sasa Ndg. Magufuli angeibuka mshindi kwa kupata zaidi ya asilimia 80. Huku mgombea wa Ukawa angepata asilimia 16. Na wengineo kupata asilimia chini ya 2. Hayo yamesemwa leo na mtafiti mkuu wa shirika la CEDP Ndg. Kasira

Mtafiti huyo, kasema ushindi wa Magufuli ungechangiwa na kasi aliyoanza nayo kitendo ambacho kimerudisha matumaini makubwa sana kwa wananchi wa hali ya chini. Kwa upande mwingine kasi ya umoja wa UKAWA umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya muungano wa vyama hivyo kukosa muelekeo na kutokujua la kufanya...

Wananchi wengi 8/10 walio vijijini wameonyesha kuwa na imani kubwa kwa Rais Magufuli. Huku wakiwa na matarajio ya serikali hii ya awamu ya tano kuboresha elimu, afya na miundombinu...

Kwa upande wa mijini. Wananchi wengi wameiomba serikali ya awamu ya tano kushughilikia tatizo la kupanda bei kwa bidhaa na ajira kwa vijana.....

Kumbe zimetofautiana Mkuu Mimi yangu niliyonayo inasema Magufuli ana 99.3%, Lowassa 0.2% na wengineo 0.5%.
 
Hivi kwani Lowassa atagombea tena Urais?.....
Kama uchaguzi mkuu ungefanyika leo Rais wa sasa Ndg. Magufuli angeibuka mshindi kwa kupata zaidi ya asilimia 80. Huku mgombea wa Ukawa angepata asilimia 16. Na wengineo kupata asilimia chini ya 2. Hayo yamesemwa leo na mtafiti mkuu wa shirika la CEDP Ndg. Kasira

Mtafiti huyo, kasema ushindi wa Magufuli ungechangiwa na kasi aliyoanza nayo kitendo ambacho kimerudisha matumaini makubwa sana kwa wananchi wa hali ya chini. Kwa upande mwingine kasi ya umoja wa UKAWA umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya muungano wa vyama hivyo kukosa muelekeo na kutokujua la kufanya...

Wananchi wengi 8/10 walio vijijini wameonyesha kuwa na imani kubwa kwa Rais Magufuli. Huku wakiwa na matarajio ya serikali hii ya awamu ya tano kuboresha elimu, afya na miundombinu...

Kwa upande wa mijini. Wananchi wengi wameiomba serikali ya awamu ya tano kushughilikia tatizo la kupanda bei kwa bidhaa na ajira kwa vijana.....

Kwani Lowassa atagombea tena Urais?....Mbona mnapenda kuwapaisha watu bila sababu?......hivi watu mkikaa bila kumtaja lowassa hamjisikii vizuri?
 
U
Kama uchaguzi mkuu ungefanyika leo Rais wa sasa Ndg. Magufuli angeibuka mshindi kwa kupata zaidi ya asilimia 80. Huku mgombea wa Ukawa angepata asilimia 16. Na wengineo kupata asilimia chini ya 2. Hayo yamesemwa leo na mtafiti mkuu wa shirika la CEDP Ndg. Kasira

Mtafiti huyo, kasema ushindi wa Magufuli ungechangiwa na kasi aliyoanza nayo kitendo ambacho kimerudisha matumaini makubwa sana kwa wananchi wa hali ya chini. Kwa upande mwingine kasi ya umoja wa UKAWA umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya muungano wa vyama hivyo kukosa muelekeo na kutokujua la kufanya...

Wananchi wengi 8/10 walio vijijini wameonyesha kuwa na imani kubwa kwa Rais Magufuli. Huku wakiwa na matarajio ya serikali hii ya awamu ya tano kuboresha elimu, afya na miundombinu...

Kwa upande wa mijini. Wananchi wengi wameiomba serikali ya awamu ya tano kushughilikia tatizo la kupanda bei kwa bidhaa na ajira kwa vijana.....
Utafiti udhamini wa Lumumba haya wee.
 
Tafiti zingine za kipumbavu sana , unashindanisha rais aliyeko madarakani na mtu ambaye hana nafasi yoyote ya uongsociety wapi na wapi. Huku kujipendekeza kwa JPM jamani angalieni na mazingira vinginevyo mtaonekana vilaza wa kutupwa.
Pengine tuulize lengo la utafiti huu na njia zilizotumika kama zinatupa picha halisi lakini vinginevyo siyo ujinga kufanya ulinganisho wa aliye madarakani na mwingine yeyote ambaye society inamwona kwamba siku yoyote (ikijaariwa) anaweza kuwa ama ana ndoto za kuwa. Wakati fulani kabla ya uchaguzi wa 2010 na kabla ya kuibuka kwa dr. Slaa, mgombea wa cuf tafiti kama hizi zilionesha prof. Lipumba akiwa mbele ya rais kikwete. Watu wengi wenye akili watauangalia utafiti huu na watataka kujua kilichomo lakini si wengi watakaopoteza muda wao kuyafanyia kazi matusi yako.
 
huo utafiti alimuuliza nani ?
Kilichosababisha hata eneo analoishi Makufuli kua chini ya UKAWA uchaguzi wa hivi majuzi tu ni kipi ?
Lowassa huwezi kumfananisha na mihemko..
 
Back
Top Bottom