The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,214
- 6,348
Greetings wakubwa na wadogo, na kheri ya mwaka mpya.
Habarini wanajamii. Nimekuja hapa na utafiti wangu mdogo kuhusiana na kuanzisha small workshop yenye mashine hizi mbili ( Lathe Machine na Milling Machine ). Nafikiria kununua zote mbili kwa mpigo au moja wapo kati ya hizo mbili na kama itakuwa ni mashine moja yakuanzia kwangu mimi binafsi ningependelea Lathe Machine ila kuna Mtu alinishauri yeye kama experience technician ( hayuko Tanzanian ) kwamba nivizuri kununua Milling Machine maana inafanya kazi zote zinazofanywa katika Milling Machine yenyewe na kazi zinazofanyika katika Lathe Machine.
Katika kufanya utafiti wangu mdogo humu jamii forum nmeona kuna limited information kuhusu hizi mashine mbili na nikasema nilete huu mjadala hapa nakuuliza maswali mbalimbali yahusuyo hii biashara kwa lengo lakupata maarifa mbalimbali yatakayowezesha uwanzishwaji wa hii workshop, na pia kujua changamoto mbalimbali katika hii jambo.
RAW MATERIALS. Upatikanaji wa raw materials kama zifuatazo ( mild steel, stainless steel, Bronze/ Brass ) na nyinyinezo upoje upoje hasa linapokuja swala lakuchonga au tengeneza parts mpya. Kuna uwingi wa raw materials katika soko pale zinapohitajika.
TECHNICIANS. Uwepo wa wataalamu wenye uwezo wakutumia hizi mashine, kuna uwingi au uchache wao?
PAYMENTS. kwa maana ya ulipwaji wa mafundi na vibarua katika kazi. Na gharama halisi yaku repairs part mbalimbali katika soko
CUTTING TOOLS. kuna maduka yauzayo hizi cutting tools na tools mbalimbali zinazohitjika katika hii kazi
VIBALI. Mchakato wa vibali vya uwanzishwaji wa kampuni ndogo kama hizi na gharama zake
Haya ni maswali madogo na nitakuwa nafanya update yakuongeza maswali pale yanapojitokeza kwenye comment. Na wafuatao nimewatag kutokana wame comment chochote katika post mbalimbali zizungumziazo hizo mashine, nikaona niwa tag hapa pengine watakuwa na chochote chakuchangia hapa. Asante
Picha zifuatazo nikwamsaada wa Google
Dennis Robert Shughuru
Ushimen
Teknocrat
Cookie naomba msaada wako wa kurekebishwa kichwa cha habari kisomeke vizuri. Asante