UTAFITI: Kitanda kikubwa hatari kwa ndoa yako

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,213
Reaction score
16,876
Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa usiozidi futi 2.5. Umbali wa futi 2.5 uliwawezesha wanandoa kuwa pamoja na kugusana usiku kucha.

Hii iliwalazimisha waongee hata kama wamegombana mchana, maana bila kusema sogea huko huwezi kupata nafasi ya kulala. baridi ilivyokuwa inaongezeka kunapokaribia kucha iliwalazimisha wasameheane hata bila ya kuombana samahani, maana kugusana kule kuliwapa joto lililokuwa linafuta lenyewe makosa yote waliyofanyiana mchana na kuanza upya.

Vitanda vyetu vya 6 x6 vinakwenda anti-clockwise na kazi iliyokuwa inafanywa na vitanda vya akina babu. Vitanda vyetu havina ubavu wa kufuta makosa ya wanandoa waliyofanyiana mchana. Kila mtu anakuwa kwenye kona ya 6x6 na kujisikia aibu kuanza kumgusa mwenzie, nani aanze kupandisha mguu kwenye paja la mwenzie wakati kulikuwa na ugonvi?

Ngoma inakuwa droo hadi asubuhi na ugonvi ukiwa palepale na kila mtu akijfanya nunda wa kukataa kujishusha kwa kusema samahani ama kupapasa mwingine.

Rudisheni vitanda vyenu kwa fundi seremali avipunguze viwe 3 x 6 ili viweze kuwasuluhisha wanandoa mnapokoseana sio kwenda kwa mshenga, shoga, wazazi, majirani kutafuta suluhu.
 
Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa usiozidi futi 2.5. Umbali wa futi 2.5 uliwawezesha wanandoa kuwa pamoja na kugusana usiku kucha. Hii iliwalazimisha waongee hata kama wamegombana mchana, maana bila kusema sogea huko huwezi kupata nafasi ya kulala. baridi ilivyokuwa inaongezeka kunapokaribia kucha iliwalazimisha wasameheane hata bila ya kuombana samahani, maana kugusana kule kuliwapa joto lililokuwa linafuta lenyewe makosa yote waliyofanyiana mchana na kuanza upya. Vitanda vyetu vya 6 x6 vinakwenda anti-clockwise na kazi iliyokuwa inafanywa na vitanda vya akina babu. Vitanda vyetu havina ubavu wa kufuta makosa ya wanandoa waliyofanyiana mchana. Kila mtu anakuwa kwenye kona ya 6x6 na kujisikia aibu kuanza kumgusa mwenzie, nani aanze kupandisha mguu kwenye paja la mwenzie wakati kulikuwa na ugonvi? Ngoma inakuwa droo hadi asubuhi na ugonvi ukiwa palepale na kila mtu akijfanya nunda wa kukataa kujishusha kwa kusema samahani ama kupapasa mwingine.

Peleka hoja hii kwenye jukwaa la udaku.hapo vp?
 
Mbu-pu ko-la...Kwani dada'ko aliachika kwenye 6*6...."!!
Unaaibisha jukwaa peleka huu mzoga kuleee kwa mabway-baro wenzako,,usisahau kuwaambia kwamba tumekufukuza kwa matusi
 
poa 2mekusikia ila ungeitupia kwenye forum husika, elimu na mapenzi wapi na wapi!
 
Yani kichwa chako kinawaza ngono 2.peleka mada kwenye jukwaa ka dadako.
 
Ahahaha...utafiti huu umethibitishwa na tbs?

Nahitaji proof ya walau wanandoa wawili watatu hivi.

meanwhile ngoja nimpigie bibi nipate mawazo yake juu ya hili.
 
Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa usiozidi futi 2.5. Umbali wa futi 2.5 uliwawezesha wanandoa kuwa pamoja na kugusana usiku kucha. Hii iliwalazimisha waongee hata kama wamegombana mchana, maana bila kusema sogea huko huwezi kupata nafasi ya kulala. baridi ilivyokuwa inaongezeka kunapokaribia kucha iliwalazimisha wasameheane hata bila ya kuombana samahani, maana kugusana kule kuliwapa joto lililokuwa linafuta lenyewe makosa yote waliyofanyiana mchana na kuanza upya. Vitanda vyetu vya 6 x6 vinakwenda anti-clockwise na kazi iliyokuwa inafanywa na vitanda vya akina babu. Vitanda vyetu havina ubavu wa kufuta makosa ya wanandoa waliyofanyiana mchana. Kila mtu anakuwa kwenye kona ya 6x6 na kujisikia aibu kuanza kumgusa mwenzie, nani aanze kupandisha mguu kwenye paja la mwenzie wakati kulikuwa na ugonvi? Ngoma inakuwa droo hadi asubuhi na ugonvi ukiwa palepale na kila mtu akijfanya nunda wa kukataa kujishusha kwa kusema samahani ama kupapasa mwingine.

Rudisheni vitanda vyenu kwa fundi seremali avipunguze viwe 3 x 6 ili viweze kuwasuluhisha wanandoa mnapokoseana sio kwenda kwa mshenga, shoga, wazazi, majirani kutafuta suluhu.
ingawa umekosea jukwaa kuna ukweli asilimia nyingi tu
 
Tuliwahi kutembelewa na Dr ofisini kwetu na aliongelea kuhusu suala la kutokupata ujauzito, alitwambia mojawapo ya sababu ni matanda ya futi 6*6 kwani wanando huwa nadra kugusana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom