Hamna ukweli kwenye hiyo tafiti
Sijafanana nayeKwani wewe hujafanana na mume wako?
Sijafanana naye
Tunapendana mnooo.Mnapendana kweli?
Na kwa wenzang na mimi wenye wake watatu watatu je utafiti unasemaje kuhusu kufanana???Watafiti na Wataalam wa mambo ya Saikolojia wamesema ya kwamba kama Wapendanao wawili wamefunga Ndoa yao halafu ndani ya Miezi 17 na Siku 26 Sura zao hazifanani ( yaani ya mmoja inaelekea Kusini na ya mwingine Kaskazini ) jua ya kwamba hapo hakuna Ndoa, hawatadumu na Upendo haupo ( hawapendani ) kabisa.
Kazi ipo na Shikamooni Watafiti wote popote pale mlipo!
Nawasilisha.
Tunapendana mnooo.
Na kwa wenzang na mimi wenye wake watatu watatu je utafiti unasemaje kuhusu kufanana???
Sent using Jamii Forums mobile app
Watafiti na Wataalam wa mambo ya Saikolojia wamesema ya kwamba kama Wapendanao wawili wamefunga Ndoa yao halafu ndani ya Miezi 17 na Siku 26 Sura zao hazifanani ( yaani ya mmoja inaelekea Kusini na ya mwingine Kaskazini ) jua ya kwamba hapo hakuna Ndoa, hawatadumu na Upendo haupo ( hawapendani ) kabisa.
Kazi ipo na Shikamooni Watafiti wote popote pale mlipo!
Nawasilisha.
So, mwakani mwezi Kama huu Kapuya atakuwa anakaribia kuwa ka Yule kimwana??
AhahahahaaaNaona bado Bange / Bangi zipo Kichwani mwako. Hivi Mimi naweza kutaka Umaarufu kupitia kwa CERTIFIED FOOL kama Wewe?
Tutafanana baadae lakini sio sasaLakini sura yako inaenda kusini huku ya kwake inaenda kaskazini
We utakuwa yanga