Utafiti: Kama uliyefunga nae Ndoa halafu baada ya miezi 17 na Siku 26 hamfanani Sura zenu jua hiyo ni Ndoa ya Kishetani na hamtadumu

Watafiti na Wataalam wa mambo ya Saikolojia wamesema ya kwamba kama Wapendanao wawili wamefunga Ndoa yao halafu ndani ya Miezi 17 na Siku 26 Sura zao hazifanani ( yaani ya mmoja inaelekea Kusini na ya mwingine Kaskazini ) jua ya kwamba hapo hakuna Ndoa, hawatadumu na Upendo haupo ( hawapendani ) kabisa.

Kazi ipo na Shikamooni Watafiti wote popote pale mlipo!

Nawasilisha.
Na kwa wenzang na mimi wenye wake watatu watatu je utafiti unasemaje kuhusu kufanana???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watafiti na Wataalam wa mambo ya Saikolojia wamesema ya kwamba kama Wapendanao wawili wamefunga Ndoa yao halafu ndani ya Miezi 17 na Siku 26 Sura zao hazifanani ( yaani ya mmoja inaelekea Kusini na ya mwingine Kaskazini ) jua ya kwamba hapo hakuna Ndoa, hawatadumu na Upendo haupo ( hawapendani ) kabisa.

Kazi ipo na Shikamooni Watafiti wote popote pale mlipo!

Nawasilisha.

Vipi sisi tulioa wake zaidi ya mmoja, tutafanana na yupi sasa
 
Back
Top Bottom