mkuyati og
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 821
- 589
Kiongozi, hao jamaa wanamuogopa Mtume Paulo ile mbaya. Paulo ni akbar.
funga thread upuuzi hu we utaki kwenda shule unaleta maneno.wakristu wanatoa mchango na sadaka za kuendeleza mirad ya elimu na afya nyie ikitolewa buku mnabagain.
Mada haina mantiki na ushahidi ni chuki tu.kihistoria waislamu tangu miaka ya awali hawajali elimu ya kuwaendeleza zaidi ni madrasa yaani Elimu ahera.Wakristo kiasili husoma elimu ya maisha zaidi kuliko kukazania dini zaidi.Wakristo hufundishwa dini,upendo,kusameheana na elimu ambayo ndugu zetu waislamu si hivyo.Shule nyingi zilijengwa na Wamishenari kipindi cha ukoloni na si waarabu.Wasomi wengi miaka ya mwanzo wa uhuru walikuwa wakristo.Shule za seminari na hata zinazoendeshwa na wakristo ni bora zaidi kitaaluma kuliko za kiislamu sababu ni uendeshaji bora wa shule,mitaala na ufundishaji.Angalia Kirinjiko,Ubungo Muslim,Kinondoni Muslim,Al Haramain,Istiqama hazijawahi kutoa matokeo mazuri kulinganisha hata na baadhi ya shule za serikali za mchanganyiko hata za jinsia moja.Huu mfumo kristo ni maneno ya kujidanganya,hata wanafunzi wa vyuo wakristo wanafanya vizuri kwa misingi mizuri waliyotoka nayo elimu za chini.Ajira nchini Tanzania haijawahi kuangalia dini ya mtu bali uwezo wa kufanya kazi vizuri.Huu ubaguzi unaletwa na ndugu zetu waislamu kwa mfano IFAKARA HEALTH INSTITUTE ina udini sana na wanapendelea waislamu kuanzia juu hadi chini ni aibu kwa taifa.SIJAWAHI KUSIKIA AJIRA HATA KATIKA MASHIRIKA YA KIMATAIFA NA WATU BINAFSI WANAAJIRI KWA DINI YAKO BALI NI UWEZO WAKO KITAALUMA NA KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI ULETE UFANISI .Someni sana,fauluni sana mlitumikie taifa badala ya kuleta uzushi kuwa mwaonewa nafasi nyingi mmeteuliwa lakini bado hamridhiki mnaibuka na ooh serikali inawaonea waislamu kuna nafasi za mashirika ya umma,ukatibu mkuu,uwaziri,ukuu wa mikoa,ukuu wa wilaya,ukuu wa vyuo vikuu.WAKRISTO HAWASEMI CHOCHOTE MUNGU ANAWAPIGANIA WAO HUMUOMBA MUNGU AWALINDE.SIINGIZI UDINI NASEMA HALI HALISI.SIWEZI KUWA ADUI KWA KUSEMA UKWELI.
uongo uongo wamishinari siji wapuuzi gani hawaja jenga hata shule moja , shule zilijengwa na serikali na kuwakabizi wao , ni jasho la watanganyika wote , shule zile zikilipiwa na serikali
waraabu wamejenga shule walipokuwepo huko Zanzaibar ambapo walikua na dola na walijenga shule nyingi na bora zaidi na za mwanzo kabla ya Tanganyika kuanza
wakristo wa bara wakipelekwa znz kusomawakai huo , shule za ben bella haille salasie lumumba beit rasi forodhani nk walijenga warabu na zilikua bora afrika ya mashariki , uliza kanisani utaambiwa , na ndio maana makanisawana shikilia hu muungano kuua haya ya znz
huku tanganyika mtawalaalikua mkristo na akiwapendelea wakristo akawapa shule waziendeshe kwa lengo lakupata vibaraka , kupata watu watakao ona wazungu ni waungu watu walija wataondoka lakini lazima afrika waitawale kwa remote control sasa ndio hivo vishule mnavo jisifu lengo lake kutoa vikaragosi
angekuwepo nyerere ningekwambia muulize alikuana na nani kule makerere kutoka znz na mombasa ilokuwa chini ya mwarabu
alikutana na watu walio soma walokuwa free mind kina mazrui hao ndio walomfundisha siasa na kujitambuana kuacha kuabudu wazungu
Huna ujualo kujusu znz ya zamani.
Walotoka tanganyika kwena huko kufata elimu.
Znz ilikua ni chem chem ya elimu
Babu zako wakiimba zumari ikipigwa znz basi wasukuma wanalisikia wanacheza kukata viuno.
Znz ya waraabu ilikua ni empire ikishindana na south afrika na masri tu afrika nzima
Walikua na balozi marekani na nchi za europe karne ya 18 na alochagua mabalozi mi mwarabu
Wakati huo tanganyika ukiondoa mzizima na kilwa na tanga watanganyika wakigimbea kaniki za mzungu
Mh crabat unajua kuwa hao wasukuma unaowataja hawakuwa na elimu kama wachagga?
Sasa how many a schools did Mwarabu established?
Sasa assumption yako haiendani na uhalisia.labda udadavue kidogo mkuu...
Shule walo anzisha warabu kule znz ambako ndio walipo kuwa ni wenye madaraka ni nyingi kwa propotionate ya idadi ya watu ukilinganisha na tanganyika ya wazungu
Unguja kulikuwa na shule zifutazo
Benbella
Haile salasie
Lumumba
Beut ras
Kajificheni
Forodhani
Hamamni
Darajani
Popat lal
Ngambo
Vikokotoni
Mkunazini
Na 1963 walijenga chuo cha ufundi cha mwanzo kabisa znz tech
Kule pemba waarabu walijenga
Wete boys
Wete girls
Jadida
Utaani
Michakaaeni
Madungu
Na 1963 walijenga chuo cha fidel castro
Shule zote zikiendeshwa na serikali ya mwarabu
Hivyo nakutajia ni maeneo ya mjini tu peke yake na baada ya mapinduzi walichofanya hizo shule wakazibadilisha majina na kuziita majina hayo na kikomonisti utafikiri walijenga wao.
Hizo ni shule bora zilizokuwa na kila sifa ya shule za kisasa na Wazanzibar wakishindana kupata elimu. Sasa hizo shule ni nyingi mno kwa watu laki 2 walokuwepo visiwani kabla ya mapinduzi ya tanganyika kule. Shule hizo ni nyingi ukilinganisha na shule za tanganyika zilizokuwepo wakati huo uki chukulia manani ni nchi yenye watu million10
Kule znz wakati huo kulikua na shule mbili za mission moja tumekujaniko unhuja na kizimbani ikiwa pemba na hizo zote walokuwa wakisoma ni waislam hawakuzimbia kwa sababu hawakuthubutu kuleta ujinga wa kidini.
Ni mwarabu akiwa mkuu wa nchi ndie alowapa makanisa kujenga shule hizo na pia kujenga makanisa mawili ya unguja.
Waislam wa tanganyika walikua katika hali tofauti, serikali ilifungua shule na kuzikabibidhi makanisa kuziendesha na pia serikali kuzi hudumia. Shule hizi zilikua na adha hazikuwa huru kwa vijana wankiislam kwani walilazimishwa kufanya rituals za kikristo, hapa ndio wazee wengi wakakwama ni mtihani mkubwa na hawakupata ruhsa ya kujenga shule zao ilikuwa kwa mbinde sana.
Hivyo nakuambia tena huna ujialo kuhusu znz na warabu na waislam wa nchii hii , ujualo ni chuki za sunday school basi , na mwisho warabu wamekuachia jina la mji uupendao Dar es salaam ,
Hoja yako haihusiani na mada , unaruka alshabab sijui nini huko moshi shule gani hizo ..? Hujui kitu kuhusu warabu na znz zaidi ya uongo wa sunday school na kipa imaraKilimanjaro kulikuwa na shule nyingi sana kuliko hata hapo Dar. Na sehemu yeyote Tanzania.
Mzenji akiwa na degree humzidi! Akienda kwao anapiga hatua kubwa kimaendeleo. Japo huwa hawasomi zile kozi pasua Kichwa.
Hata bidhaa kwao zinauzwa bei rahisi kuliko bara.
Kimsingi wazenji wanabebwa. Weka hiyo akilini.
Napapenda Arusha na Kilimanjaro zaidi kuliko Dar es salaam.
Hoja yako haihusiani na mada , unaruka alshabab sijui nini huko moshi shule gani hizo ..? Hujui kitu kuhusu warabu na znz zaidi ya uongo wa sunday school na kipa imara
Tena watu wa mkoa wa kilimanjaro ndio wangetakiwa kulalamika kuhusu elimu sio Wazenji. Kwani Kilimanjaro waalikuwa wamepiga hatua kubwa sana. Kwa wastani Nyerere alitaifisha shule nyingi sana za Wakristo. Nasisitiza hapa nyingi sana. Kiasi kwamba ninahisi alitaka kudumaza elimu kwa wakristo ili kuwabeba waislamu. Si hizo tu: alitaifisha hadi hospitali.
Maendeleo yao kilimanjaro yakatumika kuwabeba watu wengine wakiwemo wazanzibar .
kilimanjaro walikuwa wamepiga hatua kwa kila jambo. Kuanzia barabara za lami, Walikuwa wana uwanja wa ndege wa "kimataifa". Peke yao nchini nzima. Leo Hii utaona uwanja wa Julias nyerere ndio uwanja wenye ndege nyingi.
Na Kilimanjaro maendeleo yakadorora doro.
Kilimanjaro Walikuwa na chama imara cha ushirika(KNCU) kikaja
Kuuwawa na nyerere. Mpaka Leo za kuu la biashara la kahawa halina tija tena. Serikali Ilipeleka bakuli kuwakopakopa na kuwafilisi.
Wenyeji wa kilmanjaro Walisoma wakawa wanafelishwa ili mikoa mingine ikwemo wazanzibari wafaulishwe, kwa kubebwa. Ninao Ndugu walikimbilia Kenya kusoma na wako waliohamia mikoani kama singida ili tu waweze kumaliza shule. Manake kwa Sera kandamizi za nyerere wasingesoma kabisa. Najiuliza Sijui alitaka tuchunge ng'ombe? Ni ukweli uliodhahiri Nyerere ali-tempered na elimu ya wakristo.
Muda wote huo wazenji wanabembelezwa waende shule hawataki. Wanacheza drafti na kuvua samaki.
Kama ni hujuma basi Kilimanjaro ndio Imehujumiwa. Na ingetakiwa kuwa jiji shindani na Nairobi tangu miaka hiyo lakini mpaka Leo ni manispaa tu ya kawaida kama ilivyo singida. ka Dar kameibuliwa huko kiujanja ujanja tu.
Ili kufanya maisha ya wazenji kuwa laini zaidi na zaidi. Nyerere akaruhusu lugha ya wanzanzibar ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya watanganyika.na ndiyo lugha Inayotumika kufundishia mashuleni mpaka Leo. Tuna makabila zaidi ya 125, lakini akachagua Lugha ya wazanzibari. Yaani hakuona BAra kama kuna lugha ya kutumia.
Utaona ni jinsi gani tulivyoingizwa kwenye ukoloni kiaina.
Utaona hata watanganyika bado hawaiwezi kuizungumza vizuri kiswahili. Na linapokuja swala la ajira mfano BBC,Rtd, wazenji ndio wanapewa posti kakuwa wanaimudu vizuri lugha yao. Wabara wana ng'aa tu macho.Siku zote MTU anayekutawala anaifanya lugha yake kuwa bora.
Leo Hii wengi tunasota hatujui kuzungumza kiingereza vizuri ama tuna kiingereza cha kuungaunga ni kutokana na mauza uza ya muungano feki, wenye lengo la kuwapetipeti wazenji.
Salamu Ya Shikamoo ambayo ilitumiwa kati ya mtumwa, mtwana kwa sultani na Mwinyi. Ndio inatumika ku-inculcate spirit ya utumwa huku bara. Hasa mashuleni kwetu. Kwa kisingizio kuwa ni Adabu ya mkubwa na mdogo. Ilikuwa usipomsalimia Mkubwa kwa kumwambia shikamoo unapewa adhabu.
"Shikamoo INA maana ya Niko chini ya miguu yako Mimi mtumwa niagize unachopenda furaha yako ndio furaha yangu bwana wangu" Mwinyi ama sultani anajibu "Marhaba".
Nalazimika kusema Tanganyika ni koloni la jipya mzanzibari na waarabu wa zenji.
Maana kila jambo lililofanyika, lilifanyika kwa maslahi ya
pro-zanzibar. Tumelishwa utamaduni wa Kizanzibar miaka yote.
Tunajiita watanzania lakini Maisha ya wazenji ni rahisi sana wakiwa huku kwetu ama wakiwa kwao. Hali ni tofauti kwetu sisi mambo yamekuwa magumu kupita kiasi. I think Nyerere hakuondoa utumwa Bali aliu-transform tu. Wazenji ndio wanaopalilia udini huku bara. Lengo likiwa devide and rule. Na siku huu muungano ukifa ukweli utajulikana tu.
Nimeona hata mashekh wa huku bara wanalalamika kuwa ukiwa Mbara na ukaenda Pemba hupewi hata uimamu lakini wapemba wakija huku kwetu bara wanapewa vyeo vyote misikitini na uongozi. Na sisi tupo tu wala hatulalamiki.
This time serikali ya chama tawala imewaandalia mazingira bora zaidi Wakoloni wa kizenji.
Just imagine serikali yetu iliuwawa siku nyingi kisailensa lakini serikali ya wazenji IPO na imeongezewa makucha. Wabara wakienda Zanzibar wanabeba passport mkononi. Kisha tunashangilia sisi tu wamoja. Wakihamua ku-piga ban wakristo wasifungue hoteli siku za mfungo wa Ramadhani utaona hata viongozi wa huku wanaunga mkono. nakumbuka Pinda aliwatetea wazenji bungeni kwa kupiga ban wakristo walioko Zanzibar wasiuze vyakula wakati wa mfungo na wakiuza vibanda vyao vitachomwa moto..
Sasa na wewe umekaa hapa kwenye forum. Unalalamika kwa kujenga chuki dhidi ya wabara na kumwaga tindikali; Tunajua ni ile janja yenu ya kutaka kutuweka pingu na minyororo kabisa shingoni Ili mtubebeshe mzigo mzito kuliko tunaoubeba hivi sasa.
Na sasa hivi USA inawawezesha kuwawekea Umeme. Ili muendelee kuzalisha, mtajirike na kututawala zaidi.
Raia Bara tukisema tunaonekana tunahujumu utaifa. Wazenji wakisema wanaonekana wanayo hoja. Viongozi wa bara hawana cha kusema kwa MTU kama Bakhresa, akiamua anawafanya vibaraka wake. Manake pesa anayo tena kavunia huku pesa yote. Akiamua kuwaahidi hata ofa ya range rover moja moja ili waendelee kuulinda muungano hawawezi kuchomoa tena. Watatuzima wanaharakati kiulaini kabisa. Kwani viongozi wetu hata ela ya mboga ni shida na wanategemea kuganga njaa kwa waarabu na kupewa suti.
Utumwa at work.
Ngoja nikusaidie kidogo:Hoja yako haihusiani na mada , unaruka alshabab sijui nini huko moshi shule gani hizo ..? Hujui kitu kuhusu warabu na znz zaidi ya uongo wa sunday school na kipa imara
Umeona eeh?Ahsante kwa paukwa pakawa
Bila ukristo hata wewe mtoa maada usingekuwa unaishi. Mngechapana nyinyi mpaka mkaisha. Mungu awasaidie hasa wewe mleta maada usiyeelewa hata unaachoongea.