kwa kweli samahani nimeshindwa kuendelea kusoma ulichokiandika kwanza mpaka pale nilipoishia nimegundua udhaifu mkubwa wa utafiti wako kwanza karudie kusoma historia ya tanzania pia hivi nani anajukumu la kumupeleka mtoto shule je ni serikali au ni mtu mwenyewe kwanza namupongeza nyerere kwa kitendo alichokifanya cha kutaifisha shule zote za kidini na kuwapa waislamu nafasi kusoma mbona hayo hujayazungumza kama wewe ni mkweli coz uislamu ni ukweli kuwa mkweli acha uongo na uchochezi

kaka ulichokiandika hapo ni ukweli mtupu hawa jamaa hawabebeki hata wapewe nn angalia somalia asilimia 99 ya wakazi wake ni waislamu mbona hata leo amani hawna
Una tatizo hapa, nimesoma kwa makini hasa kwenye uwiani wa elimu na jedwali lenu.
Shaka ni hii, kama mtu hajafaulu aende tu secondary?? Matokeo ya darsa la saba ndio yanawapeleka wanafunzi secondary na yanazingatia ufaulu. Wakiwa waislamu hawafaulu watendeweje?? Kwa hio wasahihishaji wanajua number za watahiniwa, majina yao na dini zao sio. Mi naona kuna kujisingizia tu kwa failure zenu wenyewe. Mi nakumbuka jinsi pale singida waislamu walivyoluwa so into madrasa huku wakristo wakisoma elimu dunia na dini pia. Hata katika darasa letu sikuona hata muislam mmoja pale mazengo aliekuwa hata top twenty, watafikaje chuo kikuu??? Au pia walimu walikuwa wanasahihisha za waislamu kwa hila?? Hii sio rahisi.
ukinijibu maswali yafuatayo, ndipo utajua tatizo ni nini.Hivi kuna grade tofauti za ufaulu kati ya wanafunzi wa dini A na dini B? JE tunapoomba kazi, kuna maswali tofauti ya interview yanayoulizwa kitaaluma kwa kuzingatia dini ya mtu?Je kuna katiba ama sheria yoyote,ama sera yoyote ya serikali imeainisha ukuu wa dini yoyote inchini?je ni sahihi serikali ivipuuze vigezo vya kitaaluma katika kupata ajira na ianzishe uajili kwa kuangalia dini ya mtu?je nisahihi tujiulize top two za nyadhifa nchini zimeshikwa na watu wa thehebu gani?je ni sahihi walioko katika top two hizo,wangepingwa na vyama vyao kwakua sio wadhehebu B?vyuoni kuna SAP ama DISCO za kiislam na za kikristo?Ama ninyi bodi ya mikopo mnazingatia dini katika kuendesha shughuri zenu ili dini fulani ikome ubishi? jamani,jamani,watanzania kwanini twajitia upofu wa misingi ya haki iliyo wazi nchini,na kuanza kukomaa na hoja za uchochezi? tukijibu hayo maaswali yote niliyoainisha nidhahiri kuwa si mkristo ama muislamu au mpagani anahaki zaidi ya mwenzake katika fursa za nchi na hakuna serikali kichaa imeyowahi kuwa madarakani na kuruhusu upuuzi kama huo.Watanzania tusiruhusu watafuta maslahi binafsi kupitia migongo ya utetezi wa dini, watuvishe miwani ya mbao tukajikuta tunakokotwa nao, nakusahau kuulinda mustakabali wa inchi, Serikali na udugu wetu imara.MUNGU IBARIKI TZ
kwa utafiti ulio ufanya jari, ACHA UPOGO MAJENGO YALE YALITOLEWA BAADA YA MAZENGO

Mfumo Kristo:
Ina maana kuwa Allah sio akbar, mpaka ashindwe na Mtume PAULO?
Kiongozi, hao jamaa wanamuogopa Mtume Paulo ile mbaya. Paulo ni akbar.Yeah! Kitu ambacho hakiwezekani...Paulo akashindwa