Utafiti:Dp Za wasichana wenye sura mbaya

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,098
Misichana yenye sura mbaya mara nyingi inapendelea kuweka dp za picha zenye maneno ya falsafa za kijinga au picha za marafki zao na kuandika status tata..kuna limdada sura mbaya linaitwa Mwantum linapenda kuweka dp za girls wengine na kuandika status kama Lolo,blessed n.k
 
Nn maana hasa ya sura mby, kwani kuna mtu aliyejiumba mwenyewe jamani!! Tumwogope Muumba w2
 
Back
Top Bottom