gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
pacha unajua ndo yale nilikwambi siku ile mwanadamu katika uhalisia wake ni mtu anapenda vitu vipya kila uchao sasa kwa mwanaume kuwa na lust hilo wala si lakupinga tunachopinga sisi na kutoka povu ni kuwa wanawake kwa wanaume they do take this reality for granted,wanawake wanabaki kubweteka wakiamini hata wafanye nini mwanaume ana tamaa na wanaume wancheat wakiamini bila kuwa na mwanamke nje hajakamilika!hapa ndo kwenye shida!sisi ni wanadamu sio wanyama my dears!tuna utashi!haimaaninisha unafuata tu ur ego inavokupeleka!
mwl mbona unamaliza nguvu kubsha kwa jambo ambalo hata mjinga anajua jibu lake? mwanaume kucheat ni tabia na hiyo wala haitunyimi usingizi siye makungwi kwani tunatamiza wajibu wetu ipasavyo yeye atajijua. mume kutoka nje hakunifanyi nikashindwa kutimiza wajibu kama mama ndani juu ya watoto na familia yangu, na wala sitokaa nijichokee eti kwasababu mume anatoka nje hapo ndipo pa kujipa raha ile mbaya hadi mwenyewe aumie tena FYI wanawake ambao wanajiamin sana pale waume zao wanapotoka nje wana chance kubwa ya kuwin mapenzi o kuliko wale wasio jiamin ambao hishia kulia kila siku na kukaa vikao. hawa ni waku wapuuza ile mbaya unamfanya mtu kama hayupo vile.
ukiona mwanamke anaumia sana kwa mumewe kutoka nje ni tegemezi sna kwa mume ila wale walioko independent nakwambia yaani huwa wanachukulia kamangom ya kitoto tu.