Utafiti binafsi

pacha unajua ndo yale nilikwambi siku ile mwanadamu katika uhalisia wake ni mtu anapenda vitu vipya kila uchao sasa kwa mwanaume kuwa na lust hilo wala si lakupinga tunachopinga sisi na kutoka povu ni kuwa wanawake kwa wanaume they do take this reality for granted,wanawake wanabaki kubweteka wakiamini hata wafanye nini mwanaume ana tamaa na wanaume wancheat wakiamini bila kuwa na mwanamke nje hajakamilika!hapa ndo kwenye shida!sisi ni wanadamu sio wanyama my dears!tuna utashi!haimaaninisha unafuata tu ur ego inavokupeleka!

mwl mbona unamaliza nguvu kubsha kwa jambo ambalo hata mjinga anajua jibu lake? mwanaume kucheat ni tabia na hiyo wala haitunyimi usingizi siye makungwi kwani tunatamiza wajibu wetu ipasavyo yeye atajijua. mume kutoka nje hakunifanyi nikashindwa kutimiza wajibu kama mama ndani juu ya watoto na familia yangu, na wala sitokaa nijichokee eti kwasababu mume anatoka nje hapo ndipo pa kujipa raha ile mbaya hadi mwenyewe aumie tena FYI wanawake ambao wanajiamin sana pale waume zao wanapotoka nje wana chance kubwa ya kuwin mapenzi o kuliko wale wasio jiamin ambao hishia kulia kila siku na kukaa vikao. hawa ni waku wapuuza ile mbaya unamfanya mtu kama hayupo vile.

ukiona mwanamke anaumia sana kwa mumewe kutoka nje ni tegemezi sna kwa mume ila wale walioko independent nakwambia yaani huwa wanachukulia kamangom ya kitoto tu.
 
sikiliza Asprin unafikir nakataa swala la wewe kucheat? ila ujue kabisa kama unacheat na wewe unacheatiwa tu, manake kama utatoka na mimi basi ujue kuna possibility ya mume wangu kutoka na mkeo na ndivyo ilivyo logically. wafikir hizo sexual desire zipo kwa male peke yake? jua kabisa kama kuna kiatu kinauzwa basi kuna mwenye mguu anayekihitaj kiatu hicho.

Mwalimu na nyie sexual desire iko juu kama sisi??
Si wanasemaga mwanamke aweza kuvumilia muda mrefu kukaa bila kudo as compared to men?
Ina ukweli wowote hii theory???
 
Bora wewe unalitambua na naamini ukishalitambua hili unaweza kutafuta solution japo ya muda mfupi.
Tatizo wanawake wengi inapokuja 'infidelity' wanalichukulia jambo hili kwa uzito sawa kati ya wanawake na wanaume..sana sana wakiamini busara ya kawaida itachukua mkondo wake. Hata mimi sisemi ni jambo zuri kucheat but jambo linapokuwa 'extreme' inabidi kuliangalia kwa mapana yake!

Hebu nikuulize my pacha snowhite ..suppose ke na me wanakuwa exposed kwenye sehemu flani kwa muda mrefu who do you think ataanza kuhisi njaa ya ngono??..ukinipa jibu sema na 'why'??
SnowBall mbona jibu hapa i rahisi sana jibu ni mwanaume na sababua ni hormones zaake kwamba androgen kila siku inafanya kazi yake tofauti na female hormones ambazo grafu zake hupanda na kushuka.
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu na nyie sexual desire iko juu kama sisi??
Si wanasemaga mwanamke aweza kuvumilia muda mrefu kukaa bila kudo as compared to men?
Ina ukweli wowote hii theory???
ni kweli kabisa kwamba sexual desires ni pronounced aaaid kwa males na sababua nia hizo male hormones ambazo muda wote graph yake iko juu, ili hali females graph hushuka na kupanda kila siku. siku ambazo graph iko juu ni siku ambazo yuko kwenye heat na hapo ndipo anakuwa na hamu ya kufanya the rest huwa ni kawaida tu.

pia kuna active reproductive age kwa mwanamke ambapo anakuwa damua inachemka kweli na umri huu huanza toka anapovunja ungo hadi akikoma hedhi at age of 45 ama 50 but most af females at age of 35 sexual desires huwa ina diminish as actions of certain hormones plus some essential minerals zinapungua. umr huu ukifika utakuta mama hana hamu ya kivile kama alivyokuwa binti na hapa huwa inaendelea hadi afkie menopouse ambapo sasa hamu huisha na hubaki kufanya kwa mazoea tu.
 
sikiliza Asprin unafikir nakataa swala la wewe kucheat? ila ujue kabisa kama unacheat na wewe unacheatiwa tu, manake kama utatoka na mimi basi ujue kuna possibility ya mume wangu kutoka na mkeo na ndivyo ilivyo logically. wafikir hizo sexual desire zipo kwa male peke yake? jua kabisa kama kuna kiatu kinauzwa basi kuna mwenye mguu anayekihitaj kiatu hicho.

Kwahiyo umekubaliana na mimi kuwa infidelity is inevitable?

Unakubaliana nami pia kwakuwa infidelity is inevitable, kwahiyo inapotoea kucheat then tucheat responsibly?

Naomba kucheat na wewe.
 
Kwahiyo umekubaliana na mimi kuwa infidelity is inevitable?

Unakubaliana nami pia kwakuwa infidelity is inevitable, kwahiyo inapotoea kucheat then tucheat responsibly?

Naomba kucheat na wewe.

umemsoma mwenzio? nenda kwa yule bedui wetu kamsome vyema aliyopewa mtaliki wake ndipo utadeduce maomb yako.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom