Mwanamume humkinai mke au mpenziwe walioishi muda mrefu pamoja wakifanya mapenz!
Licha ya wanawake wengi kuhangaika kuirudisha radha ya matamanio kwa wapenzi wao kwa kubuni na kujiweka katika hali tofautitofauti lakini hufikia hatua hata huo ubunifu mpya mwanaume huukinai!
Hata ujibadilibadili vp itafka hatua mumeo atakukinai tu!kwa sababu hii ni kweli ya asili(truth of nature).
Mwanaume akishafanya mapenz na mwanamke mara nyingi sana humkinai,na matamanio juu yake hupotea!hivyo mwanaume huanza kutamani mwanamke wa nje ambaye hajui radha yake hata kama huyo mpya atamaniaye si mzuri kushinda aliyenaye.
Ni kweli kwamba wanaume hupenda na kumuheshimu mpenzi au mke mmoja tu!lakini hushindwa kuendelea kumtamani mwanake mmoja tu!
"WOMEN U WILL ALWAYS CAPTURE THE MAN LOVE BUT NEVER HIS LUST" u never fight it u have to accept it and relax enjoy ur life!
Unajidanganya kwa utafiti wako.Matamanio ni hatua ya awali kabisa katika upendo kwa hali hiyo inaonyesha hujawahi kupenda bado uko kwenye kutamani tu. Siku moja ukifanikiwa kupenda ndio utajua upendo hufunika mapungufu yote uliyonayo wewe na yule unayempenda na kila siku ipitayo utaendelea kumuona mwenzio mpya.Ukitaka darasa zaidi nitakupatia.
Free mind always has free decision!keep it up!
"Let them fight with nature but always nature is the winner"
Bingo!
Mkuu nakubaliana na utafiti wako kwa 100%. Uzoefu wangu na wa ndugu, marafiki zangu karibu wote, majirani zangu na wafanyakazi wenzangu unathibitisha utafiti wako uko sahihi.
Kiukweli nampenda mke wangu kuliko wanawake wote duniani. Lakini mapenzi hayo yameshindwa kabisa kupambana na nguvu ya tamaa ya ngono.
CONCLUSION: Infidelity is inevitable!
ADVISE: Cheat responsibly!
Bingo!
Mkuu nakubaliana na utafiti wako kwa 100%. Uzoefu wangu na wa ndugu, marafiki zangu karibu wote, majirani zangu na wafanyakazi wenzangu unathibitisha utafiti wako uko sahihi.
Kiukweli nampenda mke wangu kuliko wanawake wote duniani. Lakini mapenzi hayo yameshindwa kabisa kupambana na nguvu ya tamaa ya ngono.
CONCLUSION: Infidelity is inevitable!
ADVISE: Cheat responsibly!
Nahitaji anaeweza kunijibu maswali haya anijibu;Unakinai nini kwa mkeo?Je hicho unacho kinai hakipo huko unaoenda?Mwisho unatakiwa umalizie kwa kutuambia maana ya kukinai!
wanaume bana ndo maana viserengeti boi vinawapigia wake zenu............
aliyekwambia mwenye kukinai ni mwanaume peke yake ni nani?
hata mwanamke hukinai pia......
infact binadamu kukinai ni kawaida....
mnapokua kwenye uhusiano /ndoa ni jukumu la kila partner kuwa mbunifu kwenye mapenzi......kuja tofauti tofauti.... sasa wewe yakalishe ukiamini ni jukumu la mwanamke kuwa mbunifu...... uone wanaume wenzio watakavyomfundisha ubunifu.......
utajiona kidume kuwa na nyumba ndogo kumbe mwenzio anao wake wanaompa ladha tofauti....mambo tofauti.... halafu si unajua kazi za nje zinavyojituma? zinapiga mzigo wa ukweli kiasi kwamba mkeo akirudi hataki hata kuguswa....chezea wezi wewe...
narudia mahusiano yanajengwa na wawili......kila mmoja ana jukumu la kuhakikisha anakuja tofauti daily........