Aaaah kumbe ndo yeye nilimuona mahali ananunua maembe
Mzima wii?
Mie mzima my wii.Yani nimekumiss balaaaa
Nahisi kama nimekumiss vile
we usijali waza bunge wakizingua tunawamention humu bila kuwe @
Tekeleza kwanza ombi langu hilo bas
Nakuja....
Mmmh kweli? Njoo tutembelee weekend bas
Viol hiyo kitu nimenunua majuu