Utafiti: 70% ya wanandoa wa Kikristu huzini au hutoka nje ndoa

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,646
22,789
Utafiti uliofanywa na shirika la Uganda Christian Network Aid katika eneo la Africa mashariki limetoa matokeo ya utafiti wao kwamba 70% ya wanandoa ya Kikristu huzini ukilinganisha na 10% ya wanandoa ya dini zingine.

Hili limetokana kwa sababu kuu mbili

1. Ukristo kuona zinaa kama sio dhambi kubwa kwao
2. Kuoa mke moja (monogamy).

 
Hili lina leta madhara mengi katika jamii hasa kwa watoto bila kua recognised kisheria, pale baba anapo kufa, pili kuongeza single maza, 3. Kusambaza magonjwa hatare kama ukimwi 4. Family violence pia inatokana na wanandoa kutoaminiana.
 
Mkuu utafiti tafadhari "no research no right to talk"......hapa mada haina uhusiano na uislamu tafadhari.

Wanaume kuchepuka sawa.ila uzizi kwa wakristo ujulikana sababu hauruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja.
Ndio maana inaonekana ni habari kubwa.
Kwa waislamu unaweza kuoa na kuacha sababu inaonekana ni maandiko ndio maana sio habari kwa ukilinganisha
 
Wanaume kuchepuka sawa.ila uzizi kwa wakristo ujulikana sababu hauruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja.
Ndio maana inaonekana ni habari kubwa.
Kwa waislamu unaweza kuoa na kuacha sababu inaonekana ni maandiko ndio maana sio habari kwa ukilinganisha
Kwani wakiristo hawa towi talaka mbona wengu huoa na kuachana, tafuta sababu nyingine ya mashiko sio hiyo.
 
Paulo alizingua sana alipoleta like kifungu Cha mke mmoja,
 
Kwa hizo hoja zako sidhani kama hata hiyo ripoti umeisoma na kuielewa. Wameongelea wana ndoa, weww umewarukia wanaume na habari za kuoa mke mmoja.
Utafiti umefanyika Uganda. Je unajua ni dini ipi ni dominant kule hata uanze kufananisha Ukristo na dini nyingine? Huo utafiti ulifaa kusema waganda kulikobWakristo.
Pili Waganda pamoja na kuwa na dini pia wana traditional life ambayo ipo very strong kwenye jamii zao na wanaziishi, hawakuwahi kuziacha.
 
Mkuu fanya utafiti wakwako usidandie wawezako, kwa taarifa yako kwenye utafiti kuna sampling quotas na percentage, idadi ya watu haithiri matokeo yoyote, wewe pinga kwa data sio kwa maneno matupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…