Utafanyajee?

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
KWA MFANO: Umeishi na mpenzi/mke wako kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja, kisha unakuja kugundua kuwa kumbe sehemu fulani ya mwilini mwake ana tattoo yenye jina la mwanaume mwingine... Utafan yaje?
 
Yupo ambaye yashamkuta nafikiri ule uzi wake una majibu ya hilo swali.
 
aiseeee... a picture speaks a thousand words...
 
ufanye nini kwani tatoo si urembo tu na wewe.
 
ntaacha tu, kwani si ilikuwa zamani, we umeiona tatutu tu, je hiyo maku aliyoipiga muda wote nayo utaitoa uweke nyingine. songa mbele usirudi nyuma, cha msingi mnapendana tu, kama majanga ndio hivyo.
 
Wanaume tulivyo na EGO... ni kazi kweli kweli unagonga zako vyombo huku ubaoni unasoma jina/majina ya wastaafu.. inataka moyo...

Maandiko yanasema:-
Mambo ya Walawi 19 : 28 ''Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana''

''Leviticus 19:28 (Amplified) “Ye shall not make any cuttings in your flesh for the dead, nor print or tattoo any marks upon you: I am the Lord.”



KWA MFANO: Umeishi na mpenzi/mke wako kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja, kisha unakuja kugundua kuwa kumbe sehemu fulani ya mwilini mwake ana tattoo yenye jina lae?
 
We think alike. ''Leviticus 19:28 (Amplified) "Ye shall not make any cuttings in your flesh for the dead, nor print or tattoo any marks upon you: I am the Lord."

sijui hata inaongeza value gani!!!!!!!!!!

maana mie sidhani kama itakuja kutokea nikafanya hivo
 
Mi nitadis mind na kuona ni ujana tu, mbona na wengine tuna tattoo za ng'e kwenye mikono hadi kuvaa singrend tunaona soo...Ni ujana tu tym will tell..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…