Utafanyaje?

Utafanyaje?

Hapo anajenga mazingira ya wewe kuongeza upendo wala hata usiogope mwaya... mkaka wa watu anakupenda.

kwan unaongea na mtoto wa chekechea hapo??naye anahtaji kuthamniwa na kuwa cared by mpenz wake...mwaya mchane live kwanza.akufungukie may b kashapata kpya,na kpya knyem.so ongea nae na s kwa smu....akzngua kama hamna changes tupa kuleeee
 
Akufukuzae akwambii toka ila ongea nae kwanza udifanye haraka
 
pole sana mdada
hapo jiandae kuumia tu kiukweli
 
Nimejaribu kumchunia,bt mambo bdo yale yale.anatuma sms baada ya cku 3 au 4 kuuliza maendeleo bt nazo cjazijibu.mwanzon ilikuwa akinitumia sms akiona cjibu anapiga coz anajua kuwa labda salio sina au sms cjaiona lakn sa hv mambo yamebadlika.nisipojibu wala hajihangaishi.
 
Habarini za mida hii wandugu.Mwanzoni mpnz wangu alikuwa ananijali,tunasaidiana ktk mambo mbalimbali,tunapeana ushauri,but inakuja kutokea kuwa mambo yamebadilika,mawasiliano yanapungua,hanipigii cm had nimpigie,nikimtumia sms hajibu inapita had siku nne kimya,ikatokea nna shda namwambia anakaa kimya hajibu,nikimuliza kama kuna tatizo anasema hakuna shida yoyote,yupo bize tuu.nashindwa kuelewa nifanyeje,na nini kimemsibu,naombeni ushauri wenu.
Ukiona hivyo ujue kwa mkewe mambo yamenoga! Huyo alikuwa tu kupumzika kwako huenda kwa wife wake mambo yalikuwa si mambo! Jitaidi utafute mpenzi wako afu utaona kama atakuletea Pozzzzz
 
pole sana ndugu...hizo ni changamoto.tu katika safar ya mapenz...kuna milima na mabonde ili mfike mnapotaka...cha muhimu jishushe tena sana...usjali hayo anayokufanyia kwakua unampenda. lazima muyazungumze...tafuta muda uangalie na timing yake ni muda gani au siku gani anakua free..mwalike dinner au lunch kaeni mahali zungumza nae kwa upendo..usionyeshe jazba au hali yeyote ya waswas..kuwa mchangamfu na uso ulojaa mahaba tele..mwambie kuhusu mabadiliki yaliyotokea kwenye mapenz yenu..usibishane nae bali msikilize na umpe nafas ya kuzungunza..naamini mkiondoka hapo mtakua na furaha na kulirejesha penz lenu kama mwanzo...Mshirikishe Mungu pia kwani yeye mwenyewe anakataa kabisa Kuachana...
 
Habarini za mida hii wandugu.Mwanzoni mpnz wangu alikuwa ananijali,tunasaidiana ktk mambo mbalimbali,tunapeana ushauri,but inakuja kutokea kuwa mambo yamebadilika,mawasiliano yanapungua,hanipigii cm had nimpigie,nikimtumia sms hajibu inapita had siku nne kimya,ikatokea nna shda namwambia anakaa kimya hajibu,nikimuliza kama kuna tatizo anasema hakuna shida yoyote,yupo bize tuu.nashindwa kuelewa nifanyeje,na nini kimemsibu,naombeni ushauri wenu.
Babycute, huyu ni mpenzi wako wa luxury tu au una malengo nae?
 
Last edited by a moderator:
Attraction+good communication+self-offering=true lov...dada kimoja kimepwaya hapo so pigia mstar
 
Sasa mwanamke wa hivi ukija kumpata atakupenda kweli...?
Mtu ameshatendwa huko, moyo una vidonda..wewe unakuja, unadhani atakupenda kwa dhati...
Kazi ipo....
 
Nawe kaa kimya. Ikipita miezi sita hajakutafuta, tafuta mwingine.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom