Kama haja kwambia toka basi ujue huyo hajakufukuza.
Matendo yake yanaashiria anamfukuza..siyo lazima aongee
Hapo anajenga mazingira ya wewe kuongeza upendo wala hata usiogope mwaya... mkaka wa watu anakupenda.
Sasa bila mtu kuongea atasema vipi kwamba hamtaki ye asubili tu kuambiwa bwana
Je vous remercie
Hilo tatizo hata mimi ninalo(ingawa mimi ni me) cha msingi ni kuachana naye na kuishi maisha yako tu.
Mapenzi hakuna hapo..pole anza kumsahau kuanguka hakumaanishi hutosimama tena.
Kama tatizo halina muda mrefu inawezekana anataka kujua iwapo unaweza kuhimili misukosuko, au wewe ni m2 wa kulaumu na kususa. Bado unaweza kutafuta namna ya kuongea ana kwa ana na kumweleza unavyoathirika na mabadiliko hayo.
Ataanzaje? Kama anampenda kweli sio rahisi kumsahau kirahisi ivo...pole dada mapenzi yanauma vibaya
Mkuu we unamoyo, hajasema toka lakini matendo yanasemaje?Kama haja kwambia toka basi ujue huyo hajakufukuza.
Babycute, mapenzi huwa ni ya wawili maneno na ushauri wa watu ni sumu ya mapenzi, hakuna anayemjua huyo mpz wako vizuri na kujua nini tafsiri sahihi ya hayo anayokufanyia wewe,mi mwenyew nina gel wangu nlikua nawasiliana nae sana, sometimes tulikua tunaongea kwa simu mpaka asubuhi, mambo yalibadilika kutokana na majukumu yangu kubadilika, ikawa ni kesi, akapata washauri wasiojua sababu wakamshauri haya unayoshauriwa akaanza kiburi but still nampenda, ila siwasiliani nae kama zamani, tukiongea kwa simu anasema watu wamemwambia nina mwanamke mwingine ndo maana simpigii simu kama zamani ila ukweli kutoka moyoni sivyo ilivyo, So Jiamini mamii wewe ndio mpenzi wake unless akuambie hakutakiHabarini za mida hii wandugu.Mwanzoni mpnz wangu alikuwa ananijali,tunasaidiana ktk mambo mbalimbali,tunapeana ushauri,but inakuja kutokea kuwa mambo yamebadilika,mawasiliano yanapungua,hanipigii cm had nimpigie,nikimtumia sms hajibu inapita had siku nne kimya,ikatokea nna shda namwambia anakaa kimya hajibu,nikimuliza kama kuna tatizo anasema hakuna shida yoyote,yupo bize tuu.nashindwa kuelewa nifanyeje,na nini kimemsibu,naombeni ushauri wenu.