Utafanyaje?

Utafanyaje?

Babycute

Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
81
Reaction score
16
Habarini za mida hii wandugu.Mwanzoni mpnz wangu alikuwa ananijali,tunasaidiana ktk mambo mbalimbali,tunapeana ushauri,but inakuja kutokea kuwa mambo yamebadilika,mawasiliano yanapungua,hanipigii cm had nimpigie,nikimtumia sms hajibu inapita had siku nne kimya,ikatokea nna shda namwambia anakaa kimya hajibu,nikimuliza kama kuna tatizo anasema hakuna shida yoyote,yupo bize tuu.nashindwa kuelewa nifanyeje,na nini kimemsibu,naombeni ushauri wenu.
 
Hilo tatizo hata mimi ninalo(ingawa mimi ni me) cha msingi ni kuachana naye na kuishi maisha yako tu.
 
Siku nne sms hajajibu! ingekuwa masaa sawa. dada hapo waswahili wanasemaga hujui kusoma hata picha huelewi.?
 
Hilo tatizo hata mimi ninalo(ingawa mimi ni me) cha msingi ni kuachana naye na kuishi maisha yako tu.
Mbona wewe hauja mwacha mmeo kama na we hilo tatizo unalo!
 
Mapenzi hakuna hapo..pole anza kumsahau kuanguka hakumaanishi hutosimama tena.
 
Hapo anajenga mazingira ya wewe kuongeza upendo wala hata usiogope mwaya... mkaka wa watu anakupenda.
 
Ameshampata mwingine hivyo wewe amekufanya alternative.

Habarini za mida hii wandugu.Mwanzoni mpnz wangu alikuwa ananijali,tunasaidiana ktk mambo mbalimbali,tunapeana ushauri,but inakuja kutokea kuwa mambo yamebadilika,mawasiliano yanapungua,hanipigii cm had nimpigie,nikimtumia sms hajibu inapita had siku nne kimya,ikatokea nna shda namwambia anakaa kimya hajibu,nikimuliza kama kuna tatizo anasema hakuna shida yoyote,yupo bize tuu.nashindwa kuelewa nifanyeje,na nini kimemsibu,naombeni ushauri wenu.
 
hapo ushaachwa kimya kimya ndugu yanguu kupungua kwa mawasiliano ni dalili ya UPENDO KUFA mwanaume ameshaanza kukupuuza
TAKE ONE STEP FORWARD umuweke chini akueleze kiunagaubaga je ana mipango gani na wewe?????,
kama ameshapata mbadala akwambie usiendeleee kupoteza muda juu yake
mawasiliano ndo yanajenga penzi na mtu anakupenda kwa dhati hawezi kupitisha siku hajawasiliana na wewe
kwa mtazamo wangu naona uko kwenye DANGER ZONE
 
embu jaribu na wewe kumchunia kama mwezi ivi ukiona kimya mkuu tafuta ustaarab mwingine no way and that is the only solution
 
Habarini za mida hii wandugu.Mwanzoni mpnz wangu alikuwa ananijali,tunasaidiana ktk mambo mbalimbali,tunapeana ushauri,but inakuja kutokea kuwa mambo yamebadilika,mawasiliano yanapungua,hanipigii cm had nimpigie,nikimtumia sms hajibu inapita had siku nne kimya,ikatokea nna shda namwambia anakaa kimya hajibu,nikimuliza kama kuna tatizo anasema hakuna shida yoyote,yupo bize tuu.nashindwa kuelewa nifanyeje,na nini kimemsibu,naombeni ushauri wenu.

3-1=2 Pia inaweza kuwa 1-3=-2 sasa hapo ndio kwenye shida dada

Mlipoanzisha mapenzi jua kuna mtu alimtema na akaumia kama wewe, hata wewe pia kuna mtu ulimbwaga na akaumia
hivyo basi hatuna haja ya kulalamika sana ktk mapenzi

Love haiko fea kwakweli
 
Pole mwaya..

Mim naona kama kuna kibuti hapo...mana akufukuzae akwambii toka..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom