achana nae utaambulia majanga ukisonga nae mbele
unaangalia maisha upande mwingine wa shilingi maisha yenyewe mafupi
mi mchaga wa machame lazima nimfanye gubegube 2pate hasara wote:disapointed:
Laumu bahati yako...ila ungeuliza nitafanyaje ikiwa nagundua mke wangu anacheat ningekujibu kiutu uzima!
Achana nae,guys na gals wapo weng mbna
Hili nalo la kuuliza?
unasepa, baada ya miezi mitatu unapima ngoma
Huyo Malaya tu achana nae