Kwanza jina halipewi na mzazi mmoja. Lazima mtakua mmepanga jina kwa muda mrefu na mmekubaliana (na mnazijua sababu zilizo wafanya kuchagua jina hili au lile). sasa ukigundua baadae kua jina la ex wake ni lile lile alilo lipendekeza haiumi sana coz kuna sababu zingine amekutolea zinazo fanya jina hilo liwe chaguo lenu, na hiyo sababu ya kua ni jina la ex linakosa uzito sana.
Muache tu amuenzi bf wake! (joke....) Ushauri: Inategemea na wewe mwenyewe km hujalipenda mbadilishe jina haraka sana kwani inawezekana kufanya hivyo ila km huna tatizo na hilo muache tu aendelee kuitwa hilo jina. :A S-coffee:
mada iko wazi kwa kusema "aliekuwa" boyfriend wake..thats means hana chake saiz maana ni mkeo sasa...vipi mkuu au yamekukuta? Pole sana..na toa shaka as long as unajua mtoto ni wako..