Utafanyaje kumpata msichana mwenye mapenzi ya kweli?

Shekuna

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
688
Reaction score
549
jaman naomba tusaidiane jinsi ya kumpata msichana mwenye mapenzi ya kweli maana siku hz weng walaghai
 
Kwanza we uwe mkweli kuliko huyo unayemtafuta... kuwa na demu zaidi ya mmoja ili upime vizuri.... hakikisha unampa hela za kutosha
 
Jitathmini mwenyewe kwanza wewe ni muaminifu? Kama ndio utapata kama wewe.
jaman naomba tusaidiane jinsi ya kumpata msichana mwenye mapenzi ya kweli maana siku hz weng walaghai
 
mim moyo wang huwa unapenda cio kutamani
 
mapenzi ya kweli ni moyo wa mtu tu! na kumpata mwenye mapenzi ya kweli kwako ni zali tu, ukibatika unampata ila atakupenda zaidi kama na wewe utatulia na kumpenda kweli! muombe mungu wako akuongoze katika kutafuta huyo mpenzi mwenye mapenzi ya kweli hapo unaweza ukafanikiwa!

kila laheri brother!
 

pa1 brother'@ushaur wako ni mzuri
 
Uwe na fedha tu then
1.Mpe fedha
2.Mpe dollar
3.Mpe money
Etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…