Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,284
- 6,750
kabisaAngalia aina ya Duka ulilonunua kama unaona anajiweza unapita nayo ila kama ni la kuunga unga rudisha tu..
Kuondoka na hiyo pesa ni wizi kama wizi mwingine tu
Itategemea na hali yangu ya kiuchumi wakati huo
Kuna duka walikuwa na utaratibu ,Kuna muda mkienda kuzidishiwa chenji kawaida ,ukirudisha wanachukua hata hawasemi Asante ila ndio hata usoni hawakuangalii,Angalia aina ya Duka ulilonunua kama unaona anajiweza unapita nayo ila kama ni la kuunga unga rudisha tu..
Kama hali yangu ni mbaya navunga ili chenchi iliyozidi inisaidie mambo mengine 🤣Ukiwa mdogo unafanyaje
🤣🤣Kama hali yangu ni mbaya navunga ili chenchi iliyozidi inisaidie mambo mengine 🤣
akiwa mfuasi wa fisiemu sirudishi wallah, kama dhambi acha nivune tuKuondoka na hiyo pesa ni wizi kama wizi mwingine tu
Hiyo hata mimi naiba bwasheeakiwa mfuasi wa fisiemu sirudishi wallah, kama dhambi acha nivune tu
🤣🤣akiwa mfuasi wa fisiemu sirudishi wallah, kama dhambi acha nivune tu
Unarejesha mara moja maana si pesa yako. La sivyo ni kosa la uwizi. Uaminifu ni pamoja na kupokea kilicho halali kwako tu. Au jiulize: je, ungekuwa wewe ungefurahi unaporejeshewa chenji uliyokosea kumpa mteja? Kumbuka kuwa unachopenda kutendewa, vivyo hivyo watendee wengine.View attachment 3377460Kuna muda unakuta Dukani
Umenunua kitu alf muuzaji anajisahau
Anakuongezea Chenchi pasipo yeye kujua
Je ghafla ghafla tu umepokea chenchi
Umeona umeongezewa alf muuzaji yupo busy
Utafanyaje ?
Na Unajiskiaje na alf ulikuwa hauna hela ?
View attachment 3377460Kuna muda unakuta Dukani
Umenunua kitu alf muuzaji anajisahau
Anakuongezea Chenchi pasipo yeye kujua
Je ghafla ghafla tu umepokea chenchi
Umeona umeongezewa alf muuzaji yupo busy
Utafanyaje ?
Na Unajiskiaje na alf ulikuwa hauna hela ?
SahihiAngalia aina ya Duka ulilonunua kama unaona anajiweza unapita nayo ila kama ni la kuunga unga rudisha tu..