my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Mfano nikiingia kwenye maisha yako kama hivi utafanya nini?
Hii ndo ile kusema maisha yanaenda kasi itakuaMfano nikiingia kwenye maisha yako kama hivi utafanya nini? View attachment 1140364
Hujaelewa nini?Sijakuelewa una maana gani mkuu
Yani utamfukuza au utamu ua?Ni kama Panya tu akiingia nyumbani kwako utamfanya nn
Maisha yanaendaga kasi tokea zamaniiiHii ndo ile kusema maisha yanaenda kasi itakua
Andiko na kavideoHujaelewa nini?
Maisha yanaendaga kasi tokea zamaniii
Wewe utakuwa sio mswahili basi😁Andiko na kavideo
According to wewe 😁Nadhani yameongeza speed
What mngh?Mngh!
Hamuelewi nini nyie mbona nimetumia kiswahili 🤔Hueleweki
According to wewe [emoji16]
Bangi mbaya sanaMfano nikiingia kwenye maisha yako kama hivi utafanya nini? View attachment 1140364