utachukua hatua gani .......kama ni ww.

utachukua hatua gani .......kama ni ww.

sweet poison

Senior Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
104
Reaction score
15
Hii ni live imemtokea jamaa yangu,mashetani yalimpata mke wake katika harakati za kufanya maombi ghafla mashetani haya yaliomba maombi yasitishwe kwani yalikuwa yanaumia sana.cha kushangaza yalitamka kuwa yameletwa na mama mzazi wa mwanaume.msaada kwenu wanajamii
 
unaendelea kuyakemea mapepo yana sifa ya kugombanisha familia kwa kusema uongo
 
Toka lini pepo likasema ukweli? Umeshasema pepo mkuu.
 
wewe yaache tu uone yatakavyokupa changamoto ya maisha wala hutakuja kutuuliza tena , fukuzia mbali kabisa kwa nguvu zote
 
kemea mpaka yatoke .... hakuna cha kufanya hapo zaidi ya hilo!!!1
 
Back
Top Bottom