Utachukua atua gani.!??

brave Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2019
Posts
248
Reaction score
143
upo kwenye mausiano na msichana na unampenda sana, baada ya wiki 3 kwny mauxiano, unagundua kua kwenye mkono wa kushoto ameweka vizuia mimba yaan "vinjiti" utachukua a2a gan....?!?
 
Unamuoa ili hata akitoa hivyo vinjiti umtie mimba mpate watoto
 
Asipoelewa hapa hatoelewa teena
Vijana fikra zao haziendi mbali. Hawazii akimtandika mimba binti wa watu si ajabu yeye mwenyewe bado anakula ugali wa wazazi, maisha yanahitaji kuwa na mawazo ya kesho na keshokutwa.


Anatamani amtie mimba amtelekeze kisha aje aanzishe thread ya kuwaponda mama zetu kwa kuwaita single mother
 
upo kwenye mausiano na msichana na unampenda sana, baada ya wiki 3 kwny mauxiano, unagundua kua kwenye mkono wa kushoto ameweka vizuia mimba yaan "vinjiti" utachukua a2a gan....?!?


Nachapa kwa kondomu kisha namuacha. Huyo ni community woman, analambwa na kila mtu, dalili ni hivyo vijiti.
 
So nn kifanyke!!?
 
Vijana jiepusheni na mimba zisizopangiliwa kwakuwa kuacha kufanya ngono hadi mtakapooana ni jambo gumu sana, njia mojawapo ya kujikinga ni hiyo ya vijiti
So yey mwanamke yupo xawa!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…