Utacheka mpaka utaita babuuuu!!

Utacheka mpaka utaita babuuuu!!

The navi 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
352
Reaction score
46
Hahahahahhaha ni sheeda
BOSS anamwambia seksetari wake:
Wiki hii
tutaenda wote Arusha kwenye
mkutano
fanya mipango yote
SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda
na
bosi Arusha kwenye
mkutano
MUME (anampigia mchepuko):
Mambo
safi, wife anaenda kikazi Arusha
jitayarishe tujirushe MCHEPUKO (anamwambia
mwanafunzi
wake wa twisheni): wiki hii nina
kazi fulani
hakuna twishen mpaka wiki ijayo
MWANAFUNZI
(anampigia simu babu yake
(BOSI)): Babu hakuna twisheni wiki
hii
nakuja kwako
BOSS anamwambia sekretari wake: Siendi
Arusha mjukuu wangu atanitembelea
SEKRETARI: Mume wangu hatuendi
Arusha
MUME (anampigia Mchepuko): Aise mpenzi
jamaa haendi mipango
imeharibika MCHEPUKO (anampigia
mwanafunzi)
Darasa kama kawaida
MWANAFUNZI: Babu twisheni iko, nakuja
wiki ijayo
BOSS: Sekretari sorry jitayarishe ile safari
ya Arusha iko palepale
 
hahahahahaha, nimecheka mpaka basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Ni sheeeeeda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom