Siyo kundi maalumu mdau, niko fiti kabisa.Mbona uchaguzi rahisi sana huo...
Labda kama wewe ni mtu wa kundi maalum
Mkuu ni kweli wewe unauliza hilo swali utachagua nini kati ya laki 7 na 20M?Habari?
Fikiria unafanya kazi mahali fulani, labda unalipwa chini ya 700K kwa mwezi na huna mkataba na hao waajiri japo una zaidi ya mwaka kazini, kitu ambacho si salama sana kwako, na waajiri wako hawana kabisa mpango wa kuingia contract na wewe.
Halafu familia inakukalisha chini wanakwambia achana na hiyo kazi tafuta biashara ya kufanya, kisha unaandikiwa cheque ya 20M ili ukaanze biashara. Lakini ni lazima kwanza uache hiyo kazi wanayoiita uchwara.
Kama ni wewe mdau wa JF, utachagua nini? Kati ya twenty (20M) za biashara na kuendelea na kazi ya below 700K kwa mwezi bila contract? Na kama unachagua biashara, utachagua biashara gani?
karibuni kwa mawazo na mitizamo.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari?

Sio laki saba, ni chini ya laki sabaMkuu ni kweli wewe unauliza hilo swali utachagua nini kati ya laki 7 na 20M?
Ni kweli maana pesa za kupewa zina lawama piaNi kweli hakuna tajiri aliyeajiriwa, kabla hujaachia hicho kibarua chako chukua mda kufanya utafiti ufanye biashara gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa siamini yeye ndio kauliza hilo swali seriously.