Acha hizo๐๐๐๐
TayariYanga atafunga goli 1 na Simba atafunga magoli mawili.
Yanga 1 -2 Simba.
usinipangie matumiz ya furaha yangu๐๐Acha hizo
Nakujua nyuzi zako๐๐usinipangie matumiz ya furaha yangu๐๐
Yanga oyeeeee ๐ ๐ ๐งก ๐คฃNakujua nyuzi zako๐๐
Usinitafute tena futa namba yangu.Mmebugi
Apia.....Yanga atafunga goli 1 na Simba atafunga magoli mawili.
Yanga 1 -2 Simba.
Pokea simu ile pesa niliyotuma ushalewaApia.....
Picha ya kidole iko wapi.....Yanga akiibuka mshindi Leo najikata kidole gumba cha mkono wa kulia
Batan ya simu imeharibika haipokei......๐นPokea simu ile pesa niliyotuma ushalewa
Wewe mtabiri ni noma! Yanga imempiga kweli mtu goli moja tu!Yanga atafunga goli 1 na Simba atafunga magoli mawili.
Yanga 1 -2 Simba.
Kausha mtabili ๐Yanga atafunga goli 1 na Simba atafunga magoli mawili.
Yanga 1 -2 Simba.
Vipi, amefungwa au hafungwi!!Mwogope mhindi akishaweka mechi kwenye jackpot,game ngumu ila Simba hafungwi.
Mayele amfuate ng'ombe wakeYanga atafunga goli 1 na Simba atafunga magoli mawili.
Yanga 1 -2 Simba.