Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

YANGA ANAWEZA KUSHINDA HII MECHI AMA DRW ...
WEKA NA WAKO ...
MOAKA.SASA.KAMATI YA UFUNDI.SIMBA INAPAMBANA KUONA.MVUA.INANYESHA ELSE HALI ITAKUWA TETE KWA SIMBA
WACHEZAJI HAWA WANAWEZA KUFUNGA MAGOLI
YANGA
MORRISON
TSHISYSHIMBI
NCHIMBI
MOLINGA
NAONA PENALLTY SIJAJUA UPANDE GANI
WAFUNGAJI SIMBA
DEO.K
SHIHATA..
KAMA N PENALTY ITATOKEA BASI KAGERE NDIO ATAFUNGA ELSE HATOFUNGA KABISA
MASHABIKI WA YANGA MUWE NA AMANI MPAKA SASA DRW NDIO WANATAFUTA SIMBA ELSE NW MNYUKOO




WAZEE WA KUBET ANGALIKO HIVI
Kama uliona mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo vipi?Tuendelee kusubiri.Baba kubaliana tu kiukweli kuwa Wewe shabiki wa Simba mahaba yalikuzidi ukashindwa kutafsiri nyota vizuri.Kiupande ulikuwa sawa kuwa Nyota ya simba inang'aa mana simba wameposess kuliko Yanga lakin ilipokuja kutafsiri upande wa Yanga mahaba niue na sasa Yamekuua.
Kuwa mpole dakika 90 bado

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utabir wangu clear japo first yellow card hakupata kasi Kama nilisema nimecheza na muda na wakati maji yanaporudi saa kumi na moja na gol likapatikana mkuu mshana tugonge cheers

kilicho akilini kitumie
 
Kwa Mechi ya Jana ya Azam na Simba, utabiri huu umekamilika Kwa asilimia 80.

Kama Azam amemchapa Yanga goli Moja Kwa
Simba kamchapa Azam ambaye ni mbabe wa Yanga 3-2

Hapa Kwa Hitimisho la Kimantiki,
Yaani Logical Conclusion.
Bila hata kuhusisha nguvu za Unajimu.

Kwa kiwango cha chini kabisa,
Simba atamfunga Yanga goli 2-0
Yaani Azam kamfunga yanga goli 1+ magoli ya Simba aliyomchapa Azam ambayo ni 3.
1+3 =4
4- 2 ambazo ni goli za Azam kamfunga Simba = 2.Goli atakazo fungwa Yanga na Simba kwa kiwango cha chini.
Hivyo matokeo ya kiwango cha chini ni 2-0, 3-1, 4-2.nk
In favour of Simba SC.




Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mlivyochemka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom