Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

JamiiForums1121944324.jpg
 
Tafsiri yake ni ninini?

* SIMBA atatawala mchezo mwanzo mwisho kasoro dakika chache tu za mwisho.
* SIMBA itatoka kifua mbele kwa kulipenya lango la YANGA mara NNE.
* Yanga watabahatika kupata kifuta machozi cha bao mbili au moja. Kama nia mbili, kila kipindi kitapata moja.
JamiiForums-22507268.jpg
 
Back
Top Bottom