Utabiri wa T. B Joshua Sudan Kusini

Sijui kwaanini wakati mwingine nikimkumbuka huyu vise president Riek Machar aliyeondolewa namkumbuka bwana Zito...It happens!
 
South Sudan imeingizwa East Africa hivi majuzi na nchi za burundi na Rwanda...East africa ni Kenya, Uganda, Tanzania, Burundi, Rwanda, na South Sudan....
Utabiri wa T.B Joshua ulisema kuwa kuna rais mmoja wa E.Africa atatekwa nyara na magaidi halafu kutakuwa na kilabu ambacho kitalepuliwa na bomu, jambo ambalo halijatokea...Soma hio stori ya utabiri hapa>>>UTABIRI WA KUTISHA: Rais Mmoja Wa Afrika Mashariki Atatekwa Nyara - bkuHABARI
Lakini sijui ni kweli maana utabiri huja na ndoto na haiwezi kuwa perfect, lazima kuwe na utofauti fulani katika ndoto kama hio

unaweka link ya kizushi. wenzio tuliona live ktk tv tafuta hiyo link.hakusema rais wa afrika mashariki ila alisema i see a leader bila kusema wa wapi. kuhusu afrika mashariki alisema tukio la kigaidi kutokea ktk nchi ya east africa jirani na kenya.
 
Tulishawaambia kuwa huyo Tb ni tapeli wa kutupwa achaneni naye mbona wagumu kuelewa? unabii gani unapindishwapindishwa ili kukidhi matakwa ya mtabiri?

Wayahudi bado wanasubiri utabiri wa nabii Isaya juu ya masiha utimie.
 
mkuu hawa wanaenda makanisani tu kama sehemu za ibada zao za kila mara/siku. au umewahi kuwaona wakisafiri kwenda kwa joshua naijeria kwa matatizo ya ndani ya nchi za ambayo wanayasababisha weyewe? kumbuka akina salva kiir wanaenda huko kwa upuuzi waufanyao kwenye nchi zao. kwa kifupi haya yanawezekana kwa miafrika tu. belascon wa italy anamatatizo chungu nzima na hatihati afungwe umewahi kumsikia akifanya upuuzi huu? fikiria mkuu, chukua hatua.
second%20preach.jpg



George-W-Bush-Observes-Na-006.jpg


vladimir-putin-2010-1-7-8-11-50.jpg


sarkozys-a23.jpg



Silvio-Berlusconi-attends-007.jpg


Nafkiri sasa utaenda kanisani kwa sababu hawa wanaenda ni bora utafute sababu nyingine ya kutokwenda kanisani kuliko kuwa na sababu ya kipuumbavu kiasi hicho.
 
huenda tuna level tofauti za uelewa. maana hata nilichokiandika hujakielewa umebaki kutukana tu mara zezeta mara familia. sasa sijui haya yameingiaje kwenye mjadala huu. rudia kusoma nilichokiandika labda ndo uchangie tena.

Kama angeenda kwa waganga wa kienyeji kama utamaduni wa viongozi wengi wa afrika ungemuona mjanja??

usiwe kama zezeta unapeleekwa kama punda asie na maamuzi binafsi yenye mantiki kama wamagharibi hawaendi hivyo nawewe huendi kanisani hivi wewe kwanza jinsia gani mbona hujionei hata aibu mwanaume mzima unaendeshwa na wanaume wenzako mke na watoto wako wanatabu kweli??

Yani Rais anayo imani na Mungu wake alieumba mbingu na nchi na vyote we unampangia ila yawezekana wewe ni giza na nuru inakuumbua.
 
Back
Top Bottom