Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
hakusema East Africa...alisema imepakana na nchi moja ya east africa
............kusini au kaskazini, mashariki au magharibi ?.........au kote kote :confused2:
hakusema East Africa...alisema imepakana na nchi moja ya east africa
Hahaha, kuna thread iliwekwa hapa awali kuhusu huu utabiri.
Mimi nikatabiri kwamba utabiri usipotimia watu watasingizia maombi.
Utabiri wangu umetimia.
Wa Joshua haujatimia.
Hahaha, kuna thread iliwekwa hapa awali kuhusu huu utabiri.
Mimi nikatabiri kwamba utabiri usipotimia watu watasingizia maombi.
Utabiri wangu umetimia.
Wa Joshua haujatimia.
Kwanini unasema "wangesingizia"?
Nyie mnao kubali kila kitu maanayake hamuwezi ku reason! Babu akija na kikombe mumo, joshua mumo, na akija mwingine akisema mwisho wa dunia kesho, utoe malizako zote kama SADAKA .......Nyie mnaojifanya wajuaji na kupinga kila kitu kuna siku mtajutia kauli zenu!! kulikuwa na wabishi kuliko ninyi lakini wameishia kutubu!! Fanyeni uchunguzi kwanza! "NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK"
Nyie mnaojifanya wajuaji na kupinga kila kitu kuna siku mtajutia kauli zenu!! kulikuwa na wabishi kuliko ninyi lakini wameishia kutubu!! Fanyeni uchunguzi kwanza! "NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK"
Hahaha, kuna thread iliwekwa hapa awali kuhusu huu utabiri.
Mimi nikatabiri kwamba utabiri usipotimia watu watasingizia maombi.
Utabiri wangu umetimia.
Wa Joshua haujatimia.
Kwani kumpinga T.B Joshua ni dhambi?
Nyie mnao kubali kila kitu maanayake hamuwezi ku reason! Babu akija na kikombe mumo, joshua mumo, na akija mwingine akisema mwisho wa dunia kesho, utoe malizako zote kama SADAKA .......
Mkuu inabidi na wewe uanzishe kanisa, si unaona jamaa jinsi anavyokula vichwa.
ni aibu isiyo kifani kwa kiongozi wa kitaifa kufanya huo ujinga. huko ulaya kwenyewe waliotuletea hii dini hawaendi huko makanisani kuomba. angalia yanayotokea ugiriki, ureno na mpaka hata italy makao makuu ya katoliki akina belasconi hawafanyi huu ujinga. ila kwa wapuuzi wa kiafrika inawezekana.
Haya wale waliokuwa wakiupinga ule unabii wakamwita tapeli waje wathibitishe.