Utabiri wa T.B Joshua kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Alitabiri kwamba kuna nchi katika Africa Mashariki ambayo itakuwa na uchaguzi hivi karibuni, matokeo yake wapinzani watashinda lakini hawataruhusiwa kutawala. Aliomba bendera ya nchi husika kwa lengo la kuiombea.
 
me sijasema ametabiri kuhusu uchaguzi lakini kuna watu wamesema mimi najaribu kuweka wazi moja ya tabiri zake ambayo imeniacha mdomo wazi..kuhusu uchaguzi nikumuomba Mungu tu! Kila mtu na mungu wake..
 
Hatuitaji utabiri ushindi wa Dr Slaa uko wazi cha msingi ni kulinda kura ili zisije chakachuliwa
 
Alitabiri kwamba kuna nchi katika Africa Mashariki ambayo itakuwa na uchaguzi hivi karibuni, matokeo yake wapinzani watashinda lakini hawataruhusiwa kutawala. Aliomba bendera ya nchi husika kwa lengo la kuiombea.

Sema kuna watu wamekwambia na kila utakayemwuliza nae atakwambia aliambiwa kwa sababu chanzo cha taarifa ni uongo uliotungwa.

me sijasema ametabiri kuhusu uchaguzi lakini kuna watu wamesema mimi najaribu kuweka wazi moja ya tabiri zake ambayo imeniacha mdomo wazi..kuhusu uchaguzi nikumuomba Mungu tu! Kila mtu na mungu wake..

Nenda ukawaulize hao watu, nao watakwambia wameambiwa na ...... na hiyo chain itaendelea up to infinity.
 
masuala ya T.B Joshua wa SCOAN si mepesi namna hiyo kuyatambua. Nimepita kwenye tovuti moja nikakuta anashutumiwa kuwa ni mtumishi wa shetani.

Hebu jionee mwenyewe hii video na ujiamulie:-

Last edited by a moderator:
UNICEF and partners bring hope to children accused of ‘witchcraft' in Nigeria

© UNICEF Nigeria/2009UNICEF Nigeria Goodwill Ambassador Nwankwo Kanu with children at the Child Rights and Rehabilitation Network Centre in Esi-Eket, Akwa Ibom State, located in the South-South zone of Nigeria.
By Geoffrey Njoku

ESI-EKET, Nigeria, 2 July 2009 – Paul, a young man whose father heads a school, has been living at the Child Rights and Rehabilitation Network (CRARN) centre in Esi-Eket for about two years now. His father visits him at the centre occasionally but is not willing to take him home due to the stigma associated with ‘child witches'.

Paul was accused of witchcraft by his stepmother. She took him to a church where the pastor pronounced him to be a witch; then she drove him out of the house. "I felt so bad when my stepmother called me a witch," said Paul. "I could not play or talk with people."

The ‘child witch' phenomenon is based on the notion that children exercise supernatural powers to negatively control people and events. It involves sorcery and magic, and is rooted in traditional beliefs. Accused children suffer the worst forms of deprivation of their rights – including rejection and abandonment by their parents, physical and psychological abuse and, in extreme cases, even death.
 
masuala ya T.B Joshua wa SCOAN si mepesi namna hiyo kuyatambua. Nimepita kwenye tovuti moja nikakuta anashutumiwa kuwa ni mtumishi wa shetani.

Hebu jionee mwenyewe hii video na ujiamulie:-

Hapo kuna Utata gani? Mbona Beelzebub kasalim amri?
 
Last edited by a moderator:
masuala ya T.B Joshua wa SCOAN si mepesi namna hiyo kuyatambua. Nimepita kwenye tovuti moja nikakuta anashutumiwa kuwa ni mtumishi wa shetani.

Hebu jionee mwenyewe hii video na ujiamulie:-

Hata Yesu walikataa kumwamini!
 
Last edited by a moderator:
Alitabiri kwamba kuna nchi katika Africa Mashariki ambayo itakuwa na uchaguzi hivi karibuni, matokeo yake wapinzani watashinda lakini hawataruhusiwa kutawala. Aliomba bendera ya nchi husika kwa lengo la kuiombea.

Hili jambo tusilipuuzie! Je bendera imepelekwa? who has this news?
 
masuala ya T.B Joshua wa SCOAN si mepesi namna hiyo kuyatambua. Nimepita kwenye tovuti moja nikakuta anashutumiwa kuwa ni mtumishi wa shetani.

Hebu jionee mwenyewe hii video na ujiamulie:-

Nakushauri ndugu yangu uwe makini sana na mambo unayokutana nayo katika mitandao, kumbuka shetani yupo kazini, naye hutumia watu kama Mungu anavyotumia watu kufanya kazi yake.

Nakushauri tafuta muda wako mzuri, fungua Emmanuel TV (
http://www.emmanuel.tv/), bila shaka utapata neema ya Mungu na kujua ukweli juu ya T.B Joshua na nguvu za Mungu. Naamini kuwa una mungu unayemwabudu kama si huyu ninayemwabudu mimi. Sifa ya Mungu ni kuwa na kuwa na uwezo na nguvu za ajabu. Mimi binafsi si question sifa na uwezo mkuu alionao Mungu wangu ndio maana ninaendelea na nitaendelea kumwabudu daima dumu vinginevyo nisingemwabudu.

Tatizo ninaloliona hapa ni kumwekea Mungu limitations ktk uwezo wake, analiweza hili lakini lile haliwezi wakati huo huo tunakwenda katika nyumba za ibada na kumwomba atusaidie shida zetu mbalimbali.Kama tuna mtazamo huo, hata Mungu mwenyewe anatushangaa.

Imefika wakati wa ku specify ni mungu gani tunayemuongelea badala ya ku generalize, maana kuna miungu mbalimbali kila mmoja na sifa zake.

Angalizo:

Kwa kuwasema vibaya watumishi wa Mungu, just for here says, wengi wamejikuta wakimtumikia shetani bila ya wao kujua.

Gari hata lifanyeje haliwezi kuruka angani kama ndege (airplane) mpaka pale litakapo weza kuwa modified kuwa na features za ndege ndipo litakapoweza kuruka angani,likewise you cann't understand things in a spiritual realm unless you are in spirit.
 
Last edited by a moderator:
masuala ya T.B Joshua wa SCOAN si mepesi namna hiyo kuyatambua. Nimepita kwenye tovuti moja nikakuta anashutumiwa kuwa ni mtumishi wa shetani.

Hebu jionee mwenyewe hii video na ujiamulie:-

Mathayo 12:24-28;

12:24 Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, Huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo.

12:25 Basi Yesu akijua mawazo yao, akawaambia, Kila ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, hufanyika ukiwa; tena mji au nyumba yo yote ikifitinika juu ya nafsi yake, haitasimama.

12:26 Na Shetani akimtoa Shetani, amefitinika juu ya nafsi yake; basi ufalme wake utasimamaje?

12:27 Na mimi nikitoa pepo kwa Beelzebuli, je! Wana wenu huwatoa kwa nani? Kwa sababu hiyo hao ndio watakaowahukumu.

12:28 Lakini mimi nikitoa pepo kwa Roho wa Mungu, basi ufalme wa Mungu umekwisha kuwajilia.
 
Last edited by a moderator:

HAPO NDIPO PENYEWE.
Nuru na giza havina ushirika hata chembe, ILA GIZA HUJIFANYA NURU.
Ndio maana yule sheik... akasema "mtu atakayeshindana na mgombea fulani ATAKUFA...". Sijui nani atamuua.
 
God has see our suffering and he will delivery the verdict on 31-Oct..

I believe in God and if Slaa will win then be it..
Remember never back down

Viva Slaa Viva Chadema.
 
Nilifikiri sheikh Yahaya Hussein tu...kumbe hata wachungaji ni watabiri!!!???
Junius Brother, Kuna tofauti sana kati ya utabiri wa Sheikh Yahya na utabiri wa wachungaji, Muumini wa kweli aliyejitoa kwa Mungu anayo haki ya Maono, maana nyakati za mwisho mungu amemwaga roho kwa wana wote wa binadamu ili waweze kuona maono na kutabiri.

Ushuhuda wa kweli, Katika nyakati ambazonatokea kumtafuta mungu Nimeona mambo mengi sana na mengi yametokea, Kuna nyakati nimeona nikiwa nimefumba macho, wakati mwingine nikiwa usingizini na hata Sauti ikisema na mimi kwa taratibu sana. Inahitaji sana kujitoa na kutenga muda kwa ajili ya MUNGU. MUNGJ anamajibu ya mambo mengi sana yanayotutatiza. Yapo mambo mengi ambayo siwezi kuyasema yote hapa, lakini ni kweli juu ya Maono.
 
Nimepata hii email kutoka kwa SCOAN leo. Habari ndo hiyo...hajatabiri lolote juu ya Tanzania:

Kaka samahani sana pengine inawezekana nitakuwa nimekuudhi but uyasemayo ni kama Sheikh Yahya anayesema fulani atashinda na fulani atafanya hivi. Kiufupi mzee ajuaye kesho ni mmungu sie wengine tumejitahidi sana tunaweza speculate tu kesho itakuwaje but mmungu ndie anayejua 100% kuwa kesho nini kinaweza kumtokea mtu. Hivyo hii thread naona ina elements za udini na ni jambo linalotakiwa likemewe kwa nguvu zote.
 
hebu toa ujinga wako huu!! kama huwa unamuangalia yeye na yahaya hussen tofauti iko wapy? hata yahaya huwa anaangaliwa channel ten,xo wote washirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…