MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 850
Hebu sikia mkuu! Kitu chenyewe kinaitwa "Utabiri". Kitu kilichotabiriwa maana yake chaweza kutokea au kinaweza kisitokee. Utabiri is not a certain foreseen event. Utabiri unaacha mwanya wa jambo kutotokea pia. Ndo maana unaitwa utabiri. Shida ya wengi wanataka utabiri uwe na jibu hakika, kamili, lisilo na mashaka. Huu si utabiri tena.
Sikulazimishi uamini hayo yaliyotabiriwa. Unaweza kuyabeza pia. Lakini unapoyabeza uwe na grounds badala ya kusema tu "hakuna kitu hapo". Huwezi kuyabeza tu kwa vile hakutaja jina la mtu, na hakusema tarehe.
Huyu mchawi mwana wa shetani na ibilisi amelaaniwa, anatumiwa na shetani, atakula matunda ya shetani. asipobadilika, na yeye ataaibika na ataenda njia anayowatabiria wenzake. akifika huko ndo atagundua Yesu ni Bwana au la. Mungu na ammalizie mbali.Majuzi alitabiri mechi ya yanga na simba mbona mambo yalikuwa tofauti?
Huyu mchawi mwana wa shetani na ibilisi amelaaniwa, anatumiwa na shetani, atakula matunda ya shetani. asipobadilika, na yeye ataaibika na ataenda njia anayowatabiria wenzake. akifika huko ndo atagundua Yesu ni Bwana au la. Mungu na ammalizie mbali.
Jamani hii si lugha ya Mwana wa Mungu. kwa nini unamlaani mzee wa watu? Hata kama hukubaliani na namna zake ilitosha tu kumwombea badala ya kumhukumu na kumkabidhi kwa shetani. Umevuta mpaka.Huyu mchawi mwana wa shetani na ibilisi amelaaniwa, anatumiwa na shetani, atakula matunda ya shetani. asipobadilika, na yeye ataaibika na ataenda njia anayowatabiria wenzake. akifika huko ndo atagundua Yesu ni Bwana au la. Mungu na ammalizie mbali.
I dont trust this man either...! Wizi mtupu.! Kuna siku alisema watu wa nyoto yangu (taurus) ili mapenzi yadumu inatakiwa kuimba wakati wakujamiana..! How on earth one can sing during sex..?
Hebu sikia mkuu! Kitu chenyewe kinaitwa "Utabiri". Kitu kilichotabiriwa maana yake chaweza kutokea au kinaweza kisitokee. Utabiri is not a certain foreseen event. Utabiri unaacha mwanya wa jambo kutotokea pia. Ndo maana unaitwa utabiri. Shida ya wengi wanataka utabiri uwe na jibu hakika, kamili, lisilo na mashaka. Huu si utabiri tena.
Sikulazimishi uamini hayo yaliyotabiriwa. Unaweza kuyabeza pia. Lakini unapoyabeza uwe na grounds badala ya kusema tu "hakuna kitu hapo". Huwezi kuyabeza tu kwa vile hakutaja jina la mtu, na hakusema tarehe.
alitabiri kifo cha kiongozi na mtu maaraufu nchini kutokea mwezi juni
tayari wafuatao wametutoka:
kabla yao alitangulia mwana mipasho bi. Nasma khamis kidogo. Kumbe hii sayansi ya nyota inafanya kazi!
- kaimu mufti mkuu, sheikh suleiman gorogosi
- prof haroub othman
Alitabiri kifo cha kiongozi na mtu maaraufu nchini kutokea mwezi Juni
Tayari wafuatao wametutoka:
Kabla yao alitangulia Mwana mipasho Bi. Nasma Khamis Kidogo. Kumbe hii sayansi ya Nyota inafanya kazi!
- Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi
- Prof Haroub Othman
Wataalamu wa mambo "yanayoonekana na yasiyoonekana" wanaigawa reality katika sehemu 3:Hivi huyu mzee anafanyaje kuweza kuyaona haya? To be honest, si kila mtu anaweza kutabiri at this level of specificity and consistency. Hivi kuna mtabiri mwingine kijana hapa nchini anaweza kumkaribia (maana naona yeye ameanza kuchoka)?