M mahwelu JF-Expert Member Jun 8, 2013 322 253 Apr 15, 2016 #1 Najaribu kumuuliza anajisikiaje kuhusu kauli yake ya mwanzo? Natabiri Kigamboni Bridge Mwaka 2020 itakuwa hi
Najaribu kumuuliza anajisikiaje kuhusu kauli yake ya mwanzo? Natabiri Kigamboni Bridge Mwaka 2020 itakuwa hi
FaizaFoxy Platinum Member Apr 13, 2011 100,026 122,637 Apr 15, 2016 #3 Huyo anaejiita MziziMkavu ali kopi na kupesti hilo bandiko lake, hana uwezo wa kuandika Kingereza hicho na nnauhakika hata mengine hajayaelewa. Uzuri ni kuwa ali-cite source. Tatizo ni heading yake, alizuga eti anatabiri yeye.
Huyo anaejiita MziziMkavu ali kopi na kupesti hilo bandiko lake, hana uwezo wa kuandika Kingereza hicho na nnauhakika hata mengine hajayaelewa. Uzuri ni kuwa ali-cite source. Tatizo ni heading yake, alizuga eti anatabiri yeye.