Duuuh kumbe ...jamaa kamaanisha kingineHAPA anamanisha kuwa ni ukichaa kuaminishana eti tupo vita ya uchumi na U.S.A kiasi kwamba mwaka wa toleo la hilo gazeti itatokea U.S.A kutuomba msaada kwenye satellite yetu.SO HAPA ANATUFUMBUA MACHO KUWA HIYO VITA YA UCHUMI NI GERESHA LA UONGOZI WA AWAMU HII KUTUOMBA KWENYE VITA BINAFSI IWE VITA YA NCHI.kuzisoma katuni za Masoud zinataka ukichwa safi.
Umechanganya kidogo mkuu, ni "mfalme Juha kwenye nchi ya Kichaa".Mfamle juha kwenye ardhi ya kusadikika
Asante kwa kunirekebisha aiseeeUmechanganya kidogo mkuu, ni "mfalme Juha kwenye nchi ya Kichaa".
Labda kwa donto pekee mkuu mambo ni mengi na muda ni mchache.Ita happen siku moja mkuu
Ni ndoto za alinacha sisi kujiona,tuna vita ya kiuchumi na MAREKANIDuuuh kumbe ...jamaa kamaanisha kingine
Inshaalah! Na iwe hivyo kama inenavyo.Huyu mkuu kaonyesha uzalendo kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha so watanzania tuchape kazi ili one day tuje kuwa the super power .....najua ndugu zangu wa Belgium watapinga View attachment 1666320
Kwa kuwa tumeingia Uchumi wa kati sioπππmkuu hii ni ya kweli coz now Tanzania tupo on fire........soon tunaingia kwny ....tiger economy
Amen πππyaaah mkuu ....hujaona riport ya WB
Eeh Mana wanapokea mishara , wamekuwa na uchumi wa Kati hawaaf ndo waliofanya tuingie kwnye. Middle economy