Lete hapa huo uzi
Angalia usije KUWEHUKA arifu.Yesu atazaliwa au amezaliwa chini ya mlima Kilimanjaro; Maono niliyoyapata kwa miaka sasa na yameruhusiwa kusomwa kote
Hii message na isomeke ulimwenguni wote na ni Ushuhuda binafsi ila miaka ijayo utakuwa wazi. ANGALIZO SOMA MPAKA MWISHO. Hii SEHEM YA 1 Imebeba full picture Generalization. Muunganiko ila sehem zinazofuata zinaelezea kwa kina na undani A,B,Cssss Mm IIT. Niligundua sio tuu kuwa chosen one ila...share.google
framework ya huu utabiri mbona haina viwango?Rais Samia kukosa uhalali kisiasa
Balozi Polepole alionya mapema sana kuwa Rais Samia alitakiwa uongozi wake kuishia 2025 na kama atalazimisha kwenda zaidi ya hapo basi atakosa uhalali kisiasa kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi.
Utabiri huu umetimia kwa haraka sana, Rais Samia hakubaliki nje ya nchi ndiyo maana hajafanya ziara yoyote Ulaya mpaka sasa. Kutoka ndani ya nchi Rais Samia utawala wake umepuuzwa kuanzia kijijini hadi mjini.
HahahaAngalia usije KUWEHUKA arifu.
Vita vipo tangu enzi za mababu, wamachinga pia umezaliwaukawakuta na utawaacha1. Sema mh RAIS anawadharau chademoghasia pamoja na tecdema
-mh RAIS anasimamia vitu vingi sana kwa wakati mmoja, anathubutu na anaweza.
2. kwa dunia ya sasa, sema ni nchi gani ambayo gharama za maisha hazijapanda?
-eti gharama za mafuta! hv una akili timamu wewe? haujui mafuta yanatoka wapi we nyumbu au kule irani kaendapo mh rais samia? hauoni tahira wenu wa marekani anachokifanya yanakotoka mafuta? ni nchi gani ambayo haijahaha kuhusu gharama za mafuta?
3. niambye machinga wanaohangaika? au unataka majiji yakae kama mavi yanavyopangana kwenu?
-tofauti na kwenda gerezani kumuona yule ropo ropo na kwenda kutafuta katiba kwenye maduka ya simu, uliwahi kutembelea jijij kubwa lolote uone mpangilio wa wafanyabiashara wadogowadogo?
Story za kujifariji ni Kijiji kipi ambacho wanataka huyo mama yenu aendeleeframework ya huu utabiri mbona haina viwango?
kusema ongozi wa samuya ulitakiwa uishie 2025 , sio sahihi
kuhusu ziara za ulaya muda wa kuanza kupata mashaka kwamba hakutokua na ziara ulaya bado mapema sana
nyongeza japo si kwa umuhimu: upande wa vijijini kwa huku nilipo ukiwaambia leo hii samuya anajiuzulu wanaweza wakaandama asitoke kwenye hicho kiti
ndege wafananao huruka pamoja. ila uyu mama uyu katudharau kwa level ya mwisho kabsa, Tanganyika haina wanaume hadi tumefikishwa hapa na mbibi wa nchi jirani. inasikitisha.Kumteua fisadi Anjela Kizigha ni tusi kwa watanzania
Kobazi nenda kizimkazi ukale nguruwe usindikize na ndizi1. Sema mh RAIS anawadharau chademoghasia pamoja na tecdema
-mh RAIS anasimamia vitu vingi sana kwa wakati mmoja, anathubutu na anaweza.
2. kwa dunia ya sasa, sema ni nchi gani ambayo gharama za maisha hazijapanda?
-eti gharama za mafuta! hv una akili timamu wewe? haujui mafuta yanatoka wapi we nyumbu au kule irani kaendapo mh rais samia? hauoni tahira wenu wa marekani anachokifanya yanakotoka mafuta? ni nchi gani ambayo haijahaha kuhusu gharama za mafuta?
3. niambye machinga wanaohangaika? au unataka majiji yakae kama mavi yanavyopangana kwenu?
-tofauti na kwenda gerezani kumuona yule ropo ropo na kwenda kutafuta katiba kwenye maduka ya simu, uliwahi kutembelea jijij kubwa lolote uone mpangilio wa wafanyabiashara wadogowadogo?
Acha utapeli mkuuFuatilia Uzi wangu wa maono Niliyopewa Juu ya ujio Wa Yesu Tanzania na atakavyoanzia Enzi mpya