Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,168
UTABIRI wa hali ya ndoa; Wanaume watakuwa wakali kipindi cha mwezi Januari hadi mwishoni mwa februari kuelekea mwanzo mwa mwezi Machi, na kwa wanawake walioolewa na watumishi wa umma, kwao kutakuwa na vipindi virefu vya hasira na kusonya kwa mwendokasi., (jokes kidogo)