Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,800
- 34,189
Kama haki ya Kuhesabu kuraitafanyika basi nina uhakika CUF watakuw andio wshindi. La kama kutakuwa na uchakuchuaji utakao fanyika basi CCM ndie atakaye kuwa ni mshindi huko Visiwani.Cuf wapo kwenye mtego mgumu - wakishiriki watashindwa , wakisusia watashindwa !