Utabiri wa hali ya hewa na umeme

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Leo mamlaka ya hali ya hewa imetangaza kuwa mvua zitaanza kunyesha wiki ya pili ya mwezi huu.na pia kuzungumzia upatikanaji wa umeme kwa mvua kujaza mabwawa.hii mamlaka imekuwa msemaji wa tanesco siku hizi?yenyewe badala ya kujikita kwenye utabiri kiujumla wanatumia muda wote kuzungumzia upatikanaji wa umeme.kwanza tabiri zao zinakuwaga za kimagumashi.yetu macho juma lijalo sio mbali
 
Back
Top Bottom