Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,626 Apr 23, 2014 #21 Naendaga kanisani kutafuta warembo sio kuombewa kupata mke. Sina imani hiyo, yan unaombewa na anakuja tu?
Naendaga kanisani kutafuta warembo sio kuombewa kupata mke. Sina imani hiyo, yan unaombewa na anakuja tu?
Possibles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 1,943 Reaction score 2,482 Apr 23, 2014 #22 Kwani kuna kosa gani mchungaji kukwambia kile unachotaka kusikia!!? Na pia kuna kosa gani muumini kuamini kile alichotamani kuambiwa!!? Au umesahau IMANI maana yake nini!!:israel:
Kwani kuna kosa gani mchungaji kukwambia kile unachotaka kusikia!!? Na pia kuna kosa gani muumini kuamini kile alichotamani kuambiwa!!? Au umesahau IMANI maana yake nini!!:israel: