Utabiri: Ndoa ya madame Flora hatiani

guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,268
2,310
Kumekuwa na maneno mengi leo kuanzia kwenye vijiwe vya kahawa mpaka mitandaoni kumhusu mwanamziki aliyejulikana kama Flora Mbasha awali (madame Flora sasa) kuhusu uamuzi wake wa kufunga ndoa kwa Mara ya pili..
Haya ni machache yanayoashilia huenda ndoa hyo inaombewa mabaya na waliowengi..

1. Huyu ni mtumishi wa Mungu (kupitia uimbaji)
2. Mlokole kwenye ndoa ya pili
3. Alimpakazia mbasha kesi kubwa kwa maoni ya watu Mungu alimshindia (kesi ya kubaka)
4. Pamoja na hayo bado mmewe alibaki kumpenda daima na alikuwa radhi warudiane ila mtumishi huyu hakuwa tayari kusamehe (Biblia inasemaje hapa..)
5. Huyu mtoto wa pili hajulikani hasa ni wa Mbasha, huyu wa sasa au ni mwingine..hii sio dalili njema kabisa
6. Pamoja na Mbasha kutoa taraka inaonyesha yeye nafsini bado yuko na Frola (ukitamka Frola mbele yake ukamwangalia usoni you notice all what iam saying..)
7. Sina uhakika narudia sina uhakika kama huyu mmewe wa sasa alipata baraka zote za wazazi upande wake kumuoa huyu binti sijui mmama au mbibi (I don't know)
8. Siku zote watu wengi wakikuwazia mabaya lazima yatakutokea japo sio lazima
Mcpilipili kaweka picha hii na kuwaambia watu wavote lakini ukisoma comment mpaka sisi ambao tumeshapeleka revenue TBL unapata mshituko...
Kwanza ndo mechi inaanza muda utasema..
NB: SIMWOMBEI MTU MABAYA MSINIHULUMU
Screenshot_20170429-225905.png
Screenshot_20170429-225856.png
 
Wewe ua

View attachment 502816View attachment 502817

Wewe uamuzi wake unakuhusu nini? Ulitaka uolewe wewe?
 
Mnamlaumu bure labda wengi wenu bado hamjakua.

Kuishi nyumba moja na mtu uliyekutana naye ukubwani sio kitu kidogo.
Sasa unataka kusema mke/Mme lazima ukutane nae udogoni? Na mapungufu gani yasiyoisha..navojua wakristo hawaamini sana katika taraka tena pasipo sababu ya msingi hasa walokole..hata kama ni shida lakini bado walikuwa na nafasi ya kuzungumza
 
Walikwambia hapakuwa na sababu ya msingi? Walikwambia hawakuzungumza?
 
Wewe unaiona?? Nazani tumetofautiana viwango vya kujua mambo wengine tuko curious tukitaka kujua kitu tunachimbua mpaka mizizi..so I can't argue..na nilishasema tusitupiane mawe
 
Huyo mc lazima atapoteza wateja. Hii ndio tabu ya watanzania kudakia bila kufikiria kazi zao pia.

Nisije kusikia popote mtu anamtaja kutaka kumpa kazi, lazima nitaizima pwaaaaaa.
 
Back
Top Bottom