Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,144
- 19,690
Keshamfunga mara mbiliHoroya hana uwezi wa kumfunga Raja, labda waamue tu
Keshamfunga mara mbiliHoroya hana uwezi wa kumfunga Raja, labda waamue tu
Jana Horoya walicheza vizuri sana,mwenyewe niitegemea 3+,wakichanga karata vizuri wanaweza kushinda kwao.Kumbe kabla ya kukutana jana, wameshakutana mara nne na kila mmoja kashindia kwake mechi mbili mbili. Ila chochote kinaweza tokea, history hachezi mpira, ila kwa nidhamu walionesha Morocco wanaweza kuambulia chochote pengine. Jana nilitegemea 3+ kwa Raja