king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,177
- 2,031
Aibu gani hii. Huu ni mpira wa miguu kaka. Chuki binafsi ndio zimawatafunaNakumegea siri.
Tangu juzi kuna matokeo ya kishenzi sana yametokea kuna timu imepigwa kumi, nyingine tisa na leo kuna moja imekufa tano.
Leo mtu anaoga magoli. Ni Chelsea hakuna mwingine.