UTABIRI: Mama Samia na Zihara ya Kushtukiza

Da vinci jr

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
202
34
Habari zenu ndugu zangu.
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa utabiri wangu huku JF kwamba. Ziara inayo fuata ya kushtukiza itafanywa na mama Samia Suluhu.

Naamini anachofanya Mh Raisi ni kutengeneza chemistry ndani ya serikali yake. Hivyo ni wazi hata fanya mambo yote peke yake. Pia naamini kuwa hii ndio sababu kubwa ya kuto chagua baraza la mawaziri haraka. Mawaziri watakapo ingia baadae itakuwa raisi wao kwenda na flow. Kuliko kuanza wengi kwa pamoja. Hivyo naamini kuwa JPM hata chagua mawaziri wote kwa wakati mmoja. Bali ata kuwa ana wateua mdogo mdogo mpaka wizara zote zitakapo jaa.

Na kwakuwa tumesha ona move ya Waziri Mkuu TPA. Basi inayo fuata itakuwa ni ya mama Samia. Au mnasemaje ndugu zangu? Mnadhani ataibuka sehemu gani??
 
labda afanye ziara ya kushtukiza Amaya saloon si ana mkasi sijui mfukoni au kwenye ....
 
Itakuwa mshindo mzito unaoambatana uteuzi wa kina Wasira na Olesendeka viti maalum
 
bado sijaona umuhimu wa kuwa makamu wa rais wakati huo tukiwa na rais na waziri mkuu ambao wote ni watendaji
 
Habari zenu ndugu zangu.
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa utabiri wangu huku JF kwamba. Ziara inayo fuata ya kushtukiza itafanywa na mama Samia Suluhu.

Naamini anachofanya Mh Raisi ni kutengeneza chemistry ndani ya serikali yake. Hivyo ni wazi hata fanya mambo yote peke yake. Pia naamini kuwa hii ndio sababu kubwa ya kuto chagua baraza la mawaziri haraka. Mawaziri watakapo ingia baadae itakuwa raisi wao kwenda na flow. Kuliko kuanza wengi kwa pamoja. Hivyo naamini kuwa JPM hata chagua mawaziri wote kwa wakati mmoja. Bali ata kuwa ana wateua mdogo mdogo mpaka wizara zote zitakapo jaa.

Na kwakuwa tumesha ona move ya Waziri Mkuu TPA. Basi inayo fuata itakuwa ni ya mama Samia. Au mnasemaje ndugu zangu? Mnadhani ataibuka sehemu gani??

Mkasi upo wapi? Umekatika au
 
Tatizo Rais wa nchi akiwa tough na mwenye kutimiza majukumu yake ipasavyo humfanya makamu wake kupotea kabisa na asijulikane anafanya au umuhimu wa uwepo wake ni nini!!! Angalia kinachotokea kwa Makamu wa Rais wa Marekani, anasikika mara chache sana.
 
Back
Top Bottom