Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,840
Nitaifaangalia mpira nikiwa home
Mechi itaanza kwa kasi sana kiasi cha mabanda umiza kulipuka kwa change.
Wale wana yanga wenye roho nyepesi wanaofatilia mchezo kupitia redio hali itakuwa mbaya sana kwao.
Wale ambao walishaisusa hii mechi kutokana na kuwa na mazonge mengi wataendelea na mambo yao mengine huko mitaani.
Kadi za njano zitamwagika sana kipindi cha kwanza laki hata hivyo kitaisha kwa sare ya bila kufungana.
Kipindi cha pili kitaanza kwa utulivu lakini baada ya dakika kadhaa tu kikombe kitaanza kutuelemea simba.
Wale wanasimba wenzetu wanaofatilia mchezo kupitia redio hali itakuwa mbaya zaidi.
Dakika kadhaa tu refa mwarabu atajikuta anafuatilia tukio kujiridhisha kama ni goli.
Wanasimba wanaofatilia kupitia redio watakuwa makini zaidi kusikiliza nini kinaendelea.
Daah kumbe ni goli yanga wanapata goli la kwanza.
(Mudathir Yahya ni kiherehere🤣)
Sura zetu wanasimba zina badilika ghafla.
Wana yanga wenyewe watakuwa wanatuzoom na kucheka kisiri siri.
Wachezaji wetu wataanza kupaniki na kupelekea mmoja kupata Kadi nyekundu.
Hii itagharimu sana timu na kusababisha kufungwa tena goli.
Hapo hati ya wana yanga haitakuwa poa huko mitaani ni full shangwe.
Refa atapuliza kipenga cha mwisho na wanasimba hatutaamini matokeo.
Mwishooooooooooo...............
kama unaupinga huu UTABIRI uliotolewa na mimi Tajiri, pinga kwa hoja.