Utabiri: Kilichotokea kwa Uhuru Kenyatta kitatokea kwa Edward Lowassa

Ikiwa itatokea lowassa akapewa hii nchi tena kwa kupitia sanduku la kura nitaamini kuwa watanzania ni maiti wanaotembea ukiwemo wewe

Ngoja nitunze ujumbe wako ili siku anayoingia Magogoni nikukumbushe. Lowassa hana mpinzani ndani na nje ya ccm, full stop.
 
=Rutashubanyuma;6100836]Unazungumzia fanana za Uhuru na EL bila ya kuziainisha. Uhuru alipoona Kanu ni kikwazo aliikimbia Kanu na kuanzisha chama chake cha TNA. Swali la kujiuliza EL lini ataikimbia CCM baada ya kuona mwelekeo ni Pemba-2015?

EL hawezi kamwe kuhama CCM na kuunda chama ingine anaogopa kivuli chake mwenyewe huo ujasiri atautoa wapi,anatamani sana Kufanya hivyo nahisi ila hicho kivuli chake ......

Kwahiyo mwandishi wa hii mada hajui analoliongelea kabisa...................anafananisha sungura (uhuru) na panya buku (EL)
 
Bila ya shaka uzi huu ni wa Husein Bashe akijaribu kumsafisha FISADI ili mwaka 2015 waingie tena Ikulu na waendeleze Richmond zingine!!!Nakushangaa kama bado unaota ndoto za mchana za kuwatabiria CCM kuendelea kutawala nchi hii tena mwaka 2015 chini ya Katiba Mpya!!!

Huo utakuwa ni wendawazimu. Kwanza kumlinganisha Uhuru Kenyata na Edward Lowassa ni sawa na kulinganisha Nabii na Kaffir/Pagan!

Uhuru Kenyatta ni kijana (51 yrs)na hana tuhuma zozote za ufisadi,Edward Lowassa is too old(60 yrs now)na by 2015 atakuwa anatimiza 63 yrs na HUKU AKIWA AMEJAA TUHUMA ZA KIFISADI za Richmond,EPA,Meremeta,Deep Green etc.

Ni afadhali kama ungelimlinganisha Lowassa na Raila Odinga,kidogo ungeeleweka mheshimiwa. Lakini Lowassa!!!!!!!
 
Nikiangalia upande wa CCM hawana candidate mwenye viwango kama Lowassa, wote ni makapi tuu, wakilogwa kuweka wauza sura wengine zaidi ya wameula wachuya,ni kweli hii serikali imepwaya kwa kutokuwepo. Kwa huyu mtu makini EL.Kuhusu utajiri. Wake kwa dunia ya sasa hakuna anayeingia madarakani bila ya kutafuta chochote, hiyo sahau na haitakaa itokee zaidi ya Mwalimu nyerere, so angalau tumpate basi anayetimiza ahadi kwa vitendo, na kutoa maamuzi magumu sometimes..Namkubali EL na Dr. Slaa .kura. Yangu. Ntachagua nimpe nani katiyahao. Tuuuuuuuuuu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom