KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,318 Jan 7, 2011 #1 Sijamsikia mtabiri bigwa Africa mashariki na ya kati, Amerika na ulaya akitoa tamko,,kunani?
M mzambia JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 887 Reaction score 63 Jan 7, 2011 #2 Wamemsachi huko malysia ambako alienda kudanganya wakamshika lkn ni tetesi sina uhakika
Mbwiga_Plus Senior Member Joined Jan 5, 2011 Posts 163 Reaction score 42 Jan 7, 2011 #3 Usanii una mwisho....Hajiwezi sasa hivi!
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,559 Reaction score 167,299 Jan 7, 2011 #4 Si unajua jamaa anaprovide ulinzi usioonekana kwa yule jamaa anayesifika kwa FAKE SMILE? Naona anasoma uelekeo wa upepo, akikurupuka huko tarajieni miujiza wa mwaka KakaJambazi said: Sijamsikia mtabiri bigwa Africa mashariki na ya kati, Amerika na ulaya akitoa tamko,,kunani? Click to expand...
Si unajua jamaa anaprovide ulinzi usioonekana kwa yule jamaa anayesifika kwa FAKE SMILE? Naona anasoma uelekeo wa upepo, akikurupuka huko tarajieni miujiza wa mwaka KakaJambazi said: Sijamsikia mtabiri bigwa Africa mashariki na ya kati, Amerika na ulaya akitoa tamko,,kunani? Click to expand...