Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Basi sawa baba...na yule aliyeweka depot ya mabasi ya mwendo wa mbio naye ahakikishiwe usalamaKuna msemo mmoja unasema usiingize siasa kwenye mambo ya kitaalamu. Watanzania tuna tabia ya kukwepa ushauri wa kitaalamu na sheria inapotubana tunajikinga kwenye mwavuli wa siasa.
Mfano utakuta mtu kajenga chini ya nguzo za umeme mkubwa akiondolewa anadai kaondolewa kwa kua ni wa chama tofauti kumbe ni katika harakati za kumhakikishia usalama.
Wakati wa mafuriko watu wa Dar hua wanapewa tahadhari wakiondolewa kwa nguvu wanadai serikali ya kidikteta lakini mafuriko yakija wanaomba msaada wanasahau kama walipewa onyo.
Ifikie mahali tuheshimu wataalam wetu ingawa kuna wakati makatazo yao yanaingilia maslahi ya biashara au shughuli zetu.
kwahiya hizi Boeing za kwetu nazo zizilielwe tu.Watanzania huwa tunapenda sana kudharau taaluma za watu. Taaluma ambazo zinatokew jasho mashuleni na vyuoni pamoja na kupitia uzoefu wa kikazi.
Fastjet walipozuiliwa wasirushe ndege zao watanzania tukaongea mengi sana tukiyahusisha na siasa. Kampuni haikuwa na mtaalam ambaye anapaswa kufanya kazi na mamlaka ya anga TCAA. Mtaalam ambaye anapaswa kuihakikishia mamlaka juu ya usalama wa ndege.
Zikaingia siasa za eti lengo ni kuiwezesha ATCL na ndege zake liweze kushamiri kibiashara. Watu wakasahau kabisa kuwa ndege za Fastjet zilikuwa zinahatarisha maisha ya abiria, kwani zilikuwa ni spana mkononi.
Mamlaka ya anga kama mdhibiti mkuu wa sekta nzima ya anga, haikutaka kuhatarisha uhai wa nguvu kazi ya nchi hii.
Leo hii kampuni ya Boeing imeingia matatani baada ya ndege mbili aina ya 737 kuanguka katika kipindi kifupi. Mamlaka ya anga ya China imezizua ndege za aina hiyo zisiruke katika anga la nchi hiyo.
Weledi huwa na faida kubwa unapoheshimiwa na kupewa uhuru wa kufanya kazi, kinyume cha hapo ni muendelezo wa ajali nyingi huku tukimsingizia Mungu kwamba ni mipango yake.
Yaani Mungu huyo huyo anayeombwa ili maisha ya wagonjwa yapone, awe ni wa kuridhia vifo ambavyo vinaweza kuzuilika!.
Watanzania lipo somo zuri kwetu kupitia namna ambavyo jamii ya kimataifa inavyoliweka katika wakati mgumu kampuni ya Boeing. Sio kila kitu kitazamwe kisiasa, kuna suala la kuheshimu taaluma na weledi wa watu.
Hauelewi lililotokea na unachochangia, mleta hoja kaleta vitu visivyofanana. Ni ujinga kusema Tanzania ina wataalamu kuliko wa Boeing pamoja na Ethiopian Airlines! Labda anadhani nao huenda uwanjani kupokea ndege mpya! Hajui hata idadi ya ndege walizonazo na za viwango gani, pia kampuni inashika nafasi ya ngapi Afrika na iliazishwa mwaka gani.Kuna msemo mmoja unasema usiingize siasa kwenye mambo ya kitaalamu. Watanzania tuna tabia ya kukwepa ushauri wa kitaalamu na sheria inapotubana tunajikinga kwenye mwavuli wa siasa.
Mfano utakuta mtu kajenga chini ya nguzo za umeme mkubwa akiondolewa anadai kaondolewa kwa kua ni wa chama tofauti kumbe ni katika harakati za kumhakikishia usalama.
Wakati wa mafuriko watu wa Dar hua wanapewa tahadhari wakiondolewa kwa nguvu wanadai serikali ya kidikteta lakini mafuriko yakija wanaomba msaada wanasahau kama walipewa onyo.
Ifikie mahali tuheshimu wataalam wetu ingawa kuna wakati makatazo yao yanaingilia maslahi ya biashara au shughuli zetu.
Nimeelezea zaidi suala la kukwepa ushauri wa wataalamu sijawa specific kwenye suala la Fastjet.Hauelewi lililotokea na unachochangia, mleta hoja kaleta vitu visivyofanana. Ni ujinga kusema Tanzania ina wataalamu kuliko wa Boeing pamoja na Ethiopian Airlines! Labda anadhani nao huenda uwanjani kupokea ndege mpya! Hajui hata idadi ya ndege walizonazo na za viwango gani, pia kampuni inashika nafasi ya ngapi Afrika na iliazishwa mwaka gani.
Mbona kama hakuna uhusiano baina ya kuanguka kwa hizo ndege na kuhujumiwa kwa fastjet
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Fastjet kasema ya Masha ndio spana mkononi.Sijakuelewa. Yaani ATCL imekosa mtaalam ndo maana wakasimamisha ndege yao pendwa?? Acha kutupeleka China wakati tuna yetu hapa home. Wadhani China kupiga hiyo marufuku basi tena watu hatutaenda china kwa ndege?? Fikiri kidogo kabla hujaleta bla bla hapa jf
jamaa nimemshangaa sana serikali ilitoa sababu zake (za kipuuzi) hii ya spana mkononi haikuwepo jama sijui kaitoa wapi? alafu anaongea kwa sauti kubwa kumbe ujinga mtupu.
Mkuu mamlaka ilitoa hizo sababu unazotoa wewe?
Kama hawakuzisema wewe umeziota wapi?
Nani amekutuma wewe?