Utaachika jitume sikutishi!!

tips nzuri kuimarisha mahusiano
USIMWACHIE YEYE TU JITUME OOH[h=2]Thursday, April 29, 2010[/h][h=3]Usimwachie yeye tu[/h]


Kwa kuwa mume huwa na hitaji kubwa la sex katika ndoa mara nyingi (siyo mara zote), hii husababisha sex kuwa suala la kimwili (physical) kuliko mke unavyohitaji.Wanawake hukiri kwamba wanapozungumzia sex ni pamoja na kukumbatiwa (hugs &cuddling), busu na kushikana shikana kunakupelekea kuwa na maandalizi ya kutosha (foreplay) kuliko waume zao wanavyofanya yaani kukimbilia down there na kumaliza kazi.Jambo la kusikitisha zaidi ni kwamba wanandoa wengi wakiwa chumbani wanaume ndiyo huachiwa usukani wa kuendesha suala zima la mahaba na matokeo yake wake zao huishia kutoridhishwa.Kumbuka sex inapokuwa kwa ajili yake (mwanaume) basi huishia kuwa ni "routine" na mwisho huwa ni "boring"Kumwachia mwanaume (mume) kila kitu chumbani ni sababu mojawapo ya mwanamke (mke) kutoridhika kwani yeye si mwanamke ajue nini unahitaji kwa wakati huo na zaidi device zake zinafanya kazi tofauti na mwanamke.Hivyo kama wewe ni mwanamke ambaye umemwachia mume wako jukumu la kuongoza yote mnayofanya mkiwa chumbani na unajiona ni kweli haridhiki au huridhishwi inavyotakiwa basi anza sasa na wewe kuhakikisha unasaidiana naye kuweka mambo sawa.‘Men read newspapers, not minds"Bottom line ni kwamba mwanamke yeyote anayekuwa mbunifu na anayependa kuimarisha masuala la sex; mume humpokea kwa mikono miwili kwani sex ni hitaji lake muhimu katika kukufanya awe karibu na mke wake.Hivyo tumia hiyo opportunity

 
Bebii haujui u-special wa sex kwa sababu bado bebi, ukikua utaelewa!

usisahau kuna ma bebi waliopigika kwenye ndoa na mahusiano wakaamua kujipa moyo kwa kujiita baby wakiamini ipo siku wataitwa
sweet
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom