D Deane96 New Member Joined Sep 22, 2011 Posts 3 Reaction score 0 Dec 29, 2011 #1 duh.!kila strt ina ishia nyumbani kwa mtu..je nini tatizo.?
Bishop Hiluka JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 7,147 Reaction score 14,711 Dec 29, 2011 #2 Kuna siku nilipita mitaa fulani ambayo sikuifahamu vyema, si nikajikuta nimetokea uwani kwa mtu, wenyewe wameketi kwenye mkeka wanapata...
Kuna siku nilipita mitaa fulani ambayo sikuifahamu vyema, si nikajikuta nimetokea uwani kwa mtu, wenyewe wameketi kwenye mkeka wanapata...
Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,578 Reaction score 1,817 Dec 29, 2011 #3 kahawa....au?
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Dec 29, 2011 #4 What kind of jock is this?
M malaika2 Member Joined Dec 16, 2011 Posts 38 Reaction score 3 Dec 29, 2011 #5 Haichekeshi wala haisisimui. Ndo nin sasa?
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Dec 29, 2011 #6 kuna haja ya mods kuanzisha jukwaa la stori maana tunachanyiwa thread za ajabu mno au ndo watu wanaogopa kuambiwa copy and paste
kuna haja ya mods kuanzisha jukwaa la stori maana tunachanyiwa thread za ajabu mno au ndo watu wanaogopa kuambiwa copy and paste
Thinker96 JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 346 Reaction score 133 Dec 29, 2011 #7 sasa me nifanyeje kama inaishia hapo?
nachid JF-Expert Member Joined Apr 14, 2011 Posts 942 Reaction score 209 Dec 30, 2011 #8 kwani nini hii au amepata cha Arusha